Anafanya majukumu yote ya ndani lakini si pesa ya urembo wangu

Unataka akutunzeje tena shoga yangu??!! Hata mshahara wako kakuachia ujue unautumiaje mwenyewe kama kugharamia urembo wako nk., kwako hiyo bado haitoshi!! Ama kweli penye miti hakuna wajenzi na daima shukurani za punda ni mateke.....
 
Haswaaa umemshauri vzr,wanawake wengine bhana kwanza mpaka hapo huna mchango wowote kwny familia zaidi ya kuwa mzigo japo una kazi ,Majukumu ya mke kama kutunza familia,malezi hause girl,kupika na kufua house girl ,ww kwenda kazini tuu na hela yako haijulikani unaipeleka wapi bado unadai lips stick sasa kuna haja kweli ya kuoa mwanamke mwenye kazi,si bora kuoa asiye na kazi ili alee familia tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wa hivi (najua shem hapa umebusti tu) akitokea jamaa mwingine akawa anatoa pesa ya saluni na handbags, atapewa mpaka vya uvunguni.
 
Wako wengi tu wa namna Hii, kuna wengine na urembo wake anapewa, mafuta ya gari na pocket money, utasikia yaani hata vacation moja tu Kwa mwaka shelisheli inamshinda, mwanaume huyu mi hata simwelewi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi ni wabinfsi sana,Badilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Best zawadi ya mme ni nzuri hata ukikutana na mashosti unaulizwa umenunua sh.ngapi? Jibu sasa baba chanja kaninunulia basi najua hata bei shostingo mie najua kuvaa wakikusifia kichwa hichooo[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi wa kwanza, nimekutana na wanawake wanaojielewa, safi sana, vimatumizi vidogo unamaliza mwenyewe. Thamani yako Kwa mwanaume inakuwa, unatolewa kwenye level ya moja ya fenicha za nyumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana wamama wengi mnajihudumia wenyewe na familia zenu eeeh?


Mbona mie naona haya kawaida na mtaani majirani zangu wengi wanaume wapo.
Kumbe nawewe umeliona eeee, wengi wanajihudumia kwa comments hizi, mke anajihudumia hata kama nyingine zinapatikana kimafya mme hawezi jua hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyewe nliwaza Bora angekua hana hyo kazi ingeeleweka kidogo.
Wanawake type hii ndo wanahamasisha ule msemo kua muishi na sisi kwa akili. Sio bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili ya kimahaba haijawai kukua kwa mwanamke! Unaeza nijengea na nisione km kuna jambo umenifanyia, ila kitendo cha kuninunulia pichu nitakuwek moyoni adi kwene utumbo mwembamba adi naingia kaburini
Watu hawajui tu zawadi ya mpenzi ni nzuri sana, ukiletewa hata ice cream ya ukwaju basi roho kwangu kwakweli mie aninunulie tu na kunipamba tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atafute mwanaume anayefanyia saluni,wale jamaa wakikongo wale anakua anampa papuchi kwa kubadirishana na kusuka au kuset nywele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…