Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Hata mimi sikubalian na kukopi tamaduni zote za wazungu lkn km tulipenda mavazi yao tukaamini yanatustaharabisha nadhan hata hili la mahari inabid tuachane nalo kabsa ni utaratibu wa ovyo kabsa?!
 
As a woman namuonea huruma huyo dada. Mahari kweli ni kubwa ila kuwa na mwanaume anakwambia kabisa nenda wakuoe sijui sitoi mahari aisee mimi nisingegeuka.

Ila mtoa mada, ni kwamba hutaki kabisa kutoa mahari hata ingekuwa laki? Umetisha [emoji23]
 
As a woman namuonea huruma huyo dada. Mahari kweli ni kubwa ila kuwa na mwanaume anakwambia kabisa nenda wakuoe sijui sitoi mahari aisee mimi nisingeuka.

Ila mtoa mada, ni kwamba hutaki kabisa kutoa mahari hata ingekuwa laki? Umetisha [emoji23]
kutotoa kabisa sio vzr inatakiw hata bas kidogo

Tumezoea mahar ku range 500k - 1M
 
bado kubwa mimi 700k nimefuta kila ki2 na bint nilimtoa BK mimi

na hapo sijatoa yote japo nilikua nawez toa yote ila kabila lao hutakiw utoe yote maan ukitoa yote wanaona kama umewadharau [emoji38]
 
Nitamwoa hata bomani akikubaliana nami. Hataki aende zake. Kufa atakufa tu iwe nimetoa mahari au sijatoa. Na atazikwa tu. Maamuzi anayo yeye. Mimi nimempa msimamo wangu
 
Huyu atakuwa mtani wangu mpare huyu. Bro mahari haiishagi lakin pia jitahd wakati mwingine umsikilize mkeo mkuu. Neno msaidizi ni zaid ya tunavyolichukulia. Kuwa karibu na mkeo na jitahd usikilize umbea wake wote ili uwe mtu wake wa kwanza na uuteke moyo wake. Lakin mahari ni lazima ni mila sio fadhila japo ckubaliani na wazee wanaotaja zaid ya ml 1. Usisahau kakusomeshea mkeo bro
 
Mahari kubwa ni swala la kwanza Ila maneno yako yanareflect perception yako kwa mwanamke ni swala la pili ambalo ni hatari zaidi huyo mwanamke atakaekubaliana na wewe tuanze kumuombea mapema.
 
Usikubali kutoa mahari

Serikali ilishafuta utoaji wa mahari duniani.
 
Kwenye hii Dunia ya Sasa,mzazi kutaja mahari zaidi ya milioni ni kama unataka mwanao azalie nyumbani.

Kuna wazazi Wana tamaa kiasi kwamba anamwona mwanae wa kike Kama bidhaa ya thamani itakayogombaniwa sokoni Kisha auze kwa Bei mbaya.
Unaishi wapi wewe kijana ?
 
Wewe kama mwanamke utapokea mahari ili iweje au ufanye nini nayo, ila kama umetokea familia maskini mahari kwako ni mtaji vinginevyo jikomboe kiuchumu mambo madogo kama haya utayaacha
 
Hujielewi.
 
Dini gani?
Kwetu waislam mahali ni msahafu tu unatosha.
 
Hata mimi sikubalian na kukopi tamaduni zote za wazungu lkn km tulipenda mavazi yao tukaamini yanatustaharabisha nadhan hata hili la mahari inabid tuachane nalo kabsa ni utaratibu wa ovyo kabsa?!
Mahari inashida gani?! Nipe sababu za msingi ili ifutwe leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…