Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dahhh! Umeongea kwa hisia sana.Kwenye ndoa mnakimbiliaga nini? Mkiona maisha magumu si muachane na hizo ndoa mtafute kwanza pesa ili kuepuka aibu kama hizi?
Shida zingine huwa mnajifutia wenyewe
Tena kuokotana kwenyewe ni kwenye bar!Mimi wangu sikumwokota.
Tumezaliwa sehemu moja, tumekua pamoja na tumesoma pamoja.
..............Kazi kwenu mnaokotana mjini kwa kuvutiwa na makalio.
Mungu atusaidie kutupa nguvu na uhai zaidi wakutafuta maana sio kwa dharau hiziYeah ni sahihi bro ila sio vya kunyanyasa na kudharau watu mkuu.
Haswaaaa yaaan.Mwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!
Hiyo nguvu ya kupost chats na mwanaume mwingine, tena nikiwa namsifia napata wapiiiiii?
Sasa ananyimwa msosi kwao, akale wapiii?Hivi hata kama mtu lets say kijana kamaliza chuo na hajapata kazi , hivi anaweza kudharaulika mpaka na wazazi wake na hata ndugu zake? Maana kuna kijana mwenzangu hapa anapitia hiyo changamoto hadi stage ya kunyimwa msosi home kwao!
..mjukuu wa mzee Mwakitombile kule kiwila..😂😂Sawa kajunjumele mzee wa hapo ngyekye
Hahahahaha kajunjumele kwa mwakitombile..... Dg young D cjui kwa nini aliongea hii statement... Nahisi may be ana asili ya huko..mjukuu wa mzee Mwakitombile kule kiwila..😂😂
...........Lazima wapigwe matukio.Tena kuokotana kwenyewe ni kwenye bar!
Tunza afya ya akili kama unavyotunza dushe yakoAngalia hizo stress zidipelekee depression
Tunza afya ya akili kama unavyotunza dushe yako
Kwanza mwanamke anaye post post sana, kumiliki miliki accounts nyingi nyingi za social networks na kuwa follow akina Diamond platnumz cjui wasaf classic bby huyo ni malaya tupa kule
And how dares she anaposti other men?!shida Sio Sasa ila ni kaka mwenyewe ndo shida Hilo halijaanza ghafla ni mfululizo wa vitimbi vyake anavijua sema hili ndo limemkeraHivi ni mm na ushamba wangu au mwanamke akiolewa anatakiwa achunge anachopost hasa kinachohusu wanaume wengine ambao si ndugu zake!
Demu kimeo huyoooMwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!
Hiyo nguvu ya kupost chats na mwanaume mwingine, tena nikiwa namsifia napata wapiiiiii?
Kumbe Nifah wewe ni mke kabisaMwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!
Hiyo nguvu ya kupost chats na mwanaume mwingine, tena nikiwa namsifia napata wapiiiiii?
Fanya kazi.......unapata wapi muda wa kuangalia upuuzi mtandaoni na kufatilia mashosti wa mke wako?....mwanaume lazima uwe mwanaume acha kulia.Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.
Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..