Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

Huyo mwanamke una uhakika mahari ulimtolea??
Me hapa nna mpenzi bado hatujaoana siwezi kufanya upuuzi huo, nina mipaka ya kupost vitu. Hata binamu zangu siwapost sembuse hao wanaume wengine?!! Huyo mkeo gumegume au kuna shida mahali, na kakudharau sana!!!
 
Kwenye ndoa mnakimbiliaga nini? Mkiona maisha magumu si muachane na hizo ndoa mtafute kwanza pesa ili kuepuka aibu kama hizi?

Shida zingine huwa mnajifutia wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dahhh! Umeongea kwa hisia sana.

Ndoa za siku hizi nyingi ni bandia tu
 
Mwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!

Hiyo nguvu ya kupost chats na mwanaume mwingine, tena nikiwa namsifia napata wapiiiiii?
Haswaaaa yaaan.
 
Hivi hata kama mtu lets say kijana kamaliza chuo na hajapata kazi , hivi anaweza kudharaulika mpaka na wazazi wake na hata ndugu zake? Maana kuna kijana mwenzangu hapa anapitia hiyo changamoto hadi stage ya kunyimwa msosi home kwao!
Sasa ananyimwa msosi kwao, akale wapiii?
Hao wanafamilia ni wehu au vichaaa?
 
mwambie nimekuruhusu ukaishi nahuyo mwenye magari. huyo mke wako hajielewi tu akili ndogo,tangu lini gari ikawa ndo utajiri au mafanikio? je unaakili kuzidi wazungu wanaopigania usafiri wa baiskeli jijini mwao? huyo mwanamke lengo lake sio baya anataka ukasilike ununue lako kwa akili yake ndogo wakati hachangii hata robo,we mwelimishe tu kwamba utajiri sio kuwa na gari na mafanikio sikuzote hayapimwi kwa kumiliki gari NB ukiona unaanza kumiliki gari au vyombo vya moto ujue we ni marehemu mtalajiwa au mlemavu mtarajiwa,au mgonjwa mtarajiwa.
 
Kwanza mwanamke anaye post post sana, kumiliki miliki accounts nyingi nyingi za social networks na kuwa follow akina Diamond platnumz cjui wasaf classic bby huyo ni malaya tupa kule

Mwanamke anaepost sana hala ana account social media zote ni red flag
 
Mwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!

Hiyo nguvu ya kupost chats na mwanaume mwingine, tena nikiwa namsifia napata wapiiiiii?
Demu kimeo huyooo
 
Kumbe Nifah wewe ni mke kabisa
 
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.

Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Fanya kazi.......unapata wapi muda wa kuangalia upuuzi mtandaoni na kufatilia mashosti wa mke wako?....mwanaume lazima uwe mwanaume acha kulia.
 
Back
Top Bottom