Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo kwenye mfungo ningekupa neno baya nahisi lingekufaaww n kiazi fullstop.
Nimescreenshoot wazo zuriKwanza pole mkuu pili kuwa makini sana na uyo mkeo siwez sema usimsamehe au umsamehe ilo lipo juu yako ila kuwa makini na
ZINGATIA HAYA:
* Kama ndo umeanza tafuta mali za kudumu mf. Nyumba,kiwanja n.k kama mama ako mzaz yupo andika majina yake afu yy ndo awe kama amekurithisha hizo mali zako.
*Kama ukimrudia usimshirikishe mambo yako muhimu ila mpende kwa kawaida sana
* Kama mkirudiana usije zngumzia namna alivo ondoka kukumbushia lolote pia vyote alivyo ondoka navyo mwambie aviache kwao aje na nguo zake tu
* Mpangie namna ya kusafir hasa kwenda kwao iwe kwa kher au matatzo
We ni mwanaume?Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.
Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.
Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?
Maana aliondoka kwa kishindo sana.
Huyo hafai akae huko kwaoAnarudi maana majukumu yamemzidia. Ya kulea mtoto ofcoz[emoji23]
Ni kweli kabisaWe ni mwanaume?
Mwanamke akishakimbilia kwao achana naye.
Kama angekuwa na lengo zuri angekimbilia kwenu.,
Inaonyesha wewe ni mdhaifu na hujui la kufanya.Bigg Yes
Huyu jamaa ni mdhaifu na hapo ndipo atakapokuwa mtumwa wa mapenzi.Mkuu hii ni ngumu mno.....ila nakushauri jikabidhi kwa Mungu, hii hali inaeza fanya ukafa.... [emoji23]
Asante .nahisi ndio sababuHuyu jamaa ni mdhaifu na hapo ndipo atakapokuwa mtumwa wa mapenzi.
Pole yake kwa kweli.
Tafuta mwanamke mwengine uowe upate watoto wengine ndio dawa yako na na ya kwake. Achana naye malaya huyo anakuja kukumaliza uache ufala huo.Bigg Yes
Hayo maneno hujapakaziwa ndio ukweli,na ndio udhaifu wako maana kama ingekuwa sio,basi hilo ni la wewe kusimama kiume na kusonga mbele mwanaume hajaumbwa kwajili ya KE bali KE kwajili ya MESababu alishanipakazia kwa maneo ya uwongo kwa familia yake na wakamuamini mpaka anarudi kwao akuna ata mmoja alieniuliza what happen ila walikaaa kimya na kumpokea hiyo situation inaniumiza kichwa
Utahudhuria kwenye msibaUgumu wa maisha ndio unamrudisha..kama unampenda msamehe na mpokee mlee familia yenu kwa pamoja
Vijana wa siku hizi bhana. Yani ishu ndogo kama hiyo inamshinda, anataka ushauri!!Jibu ushaweka hapo
"Anarudi kukumaliza kabisa"
Piga mstari
Kataa Ndoa