Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Kwanza pole mkuu pili kuwa makini sana na uyo mkeo siwez sema usimsamehe au umsamehe ilo lipo juu yako ila kuwa makini na

ZINGATIA HAYA:
* Kama ndo umeanza tafuta mali za kudumu mf. Nyumba,kiwanja n.k kama mama ako mzaz yupo andika majina yake afu yy ndo awe kama amekurithisha hizo mali zako.

*Kama ukimrudia usimshirikishe mambo yako muhimu ila mpende kwa kawaida sana

* Kama mkirudiana usije zngumzia namna alivo ondoka kukumbushia lolote pia vyote alivyo ondoka navyo mwambie aviache kwao aje na nguo zake tu

* Mpangie namna ya kusafir hasa kwenda kwao iwe kwa kher au matatzo
Nimescreenshoot wazo zuri
 
Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
We ni mwanaume?

Mwanamke akishakimbilia kwao achana naye.

Kama angekuwa na lengo zuri angekimbilia kwenu.,
 
Sababu alishanipakazia kwa maneo ya uwongo kwa familia yake na wakamuamini mpaka anarudi kwao akuna ata mmoja alieniuliza what happen ila walikaaa kimya na kumpokea hiyo situation inaniumiza kichwa
Hayo maneno hujapakaziwa ndio ukweli,na ndio udhaifu wako maana kama ingekuwa sio,basi hilo ni la wewe kusimama kiume na kusonga mbele mwanaume hajaumbwa kwajili ya KE bali KE kwajili ya ME
 
Back
Top Bottom