Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule

Maoni na ushauri wako please
KAma kaamua watoto wasome kayumba sasa Olympio pa nn tena kuwasumbua watoto kila siku kwenda mjini.
Atafute kayumba iliyo karibu na kwake
 
Amejenga chanika ni maamuzi tu anataka watoto wake wawe kwenye system ya government plus anapunguza matumizi ya sio ya lazima
Oooh hivi huko Temeke sijui Chanika hkn Hz shule za EM za serikali?
 
baada ya kumtoa mtoto wako ems na kumpeleka kidumu na mfagio sasa unajaribu namna ya kutafuta nafasi kayumba iliyochangamka, sasa ninawaelewa vizuri kwanini mnapinga ems.
 
baada ya kumtoa mtoto wako ems na kumpeleka kidumu na mfagio sasa unajaribu namna ya kutafuta nafasi kayumba iliyochangamka, sasa ninawaelewa vizuri kwanini mnapinga ems.
African people always think negative. Mimi siwezi kulipa pesa shule ya msingi mwanangu anasoma Kayumba nzuri ya kiswahili mazingira mazuri karibu na ninapo ishi.

But it's okay to think the way u think kichwa ni chako akili ni zako
 
Mnajitungia tu thread kujipa milage

Atoke private ahamie government school? Acheni kutunga nyuzi bila kutumia akili.

Sijui mna hasira gani na English Medium schools
Olympio ina miundombinu bora kabisa na ni english medium. Yani ilipaswa shuke zote za serikali kuwa kaka olympio
 
Ni sh ngapi kutoa nafasi? Wanakuwaga na fixed price au ushawishi wako?

Shule Ina wanafunzi wengi?
Mm nmepata nafas hapo mwanangu ameingia grade 1 nmepata nafasi kumpitia anko wangu japo niliwapoza kidogo
 
Mnajitungia tu thread kujipa milage

Atoke private ahamie government school? Acheni kutunga nyuzi bila kutumia akili.

Sijui mna hasira gani na English Medium schools
Kwani haiwezekani kutoka private kuhamia government school nigeshangaa kama angetoka international school kuhamia government school
 
Muhimbili primary nao ni English Medium?

Muhimbili sina uhakika. Ila nakutajia shule za serikali ambazo ni english medium.

1. Chang'ombe Duce primary school

2. Mivinjeni primary school ipo kurasini

3. Mikongeni primary school ipo gongo la mboto, kama anaishi chanika hii inamfaa

4. Mlimani udsm primary school

5. Mapambano primary school ipo sinza

6. Ubungo NHC primary school ipo ubungo

7. Reginald mengi primary school ipo ubungo pia

8. Ali Hassan Mwinyi primary school

9. Mwenge primary school

10. Mirambo primary school

11. Bunju Mkoani primary school


Hizi ni baadhi tu. Ila english medium za serikali zipo nyingi sana na zina school bus
 
Sijui kwann umefikilia kuwahamishia watoto wako olympio mimi ni mkazi wa upanga kijana wangu shule ya awali alisoma daniel mihan ni shule ya masista ipo karibu na muhimbili darasa la kwanza nikampeleka hapo olympio kwa kweli alirudi nyuma sana kitaaluma mpaka ikabidi nimtoe hapo fikiria wakati yupo awali alikua anaweza kusoma na kuandika alivyoingia hapo kila kitu kikawa kama ndio yupo shule ya awali watoto ni wengi hata tabia yake ikabadilika ilibidi ni mtoe.
 
Asante kwa taarifa
 
M
Kinondoni kumekaaje kwa malezi ya watoto?
aovu yote mabaya unayoyajua wewe huwa yanaanzia Kinondoni na Magomeni kisha yanasambaa kuelekea maeneo mengine kwa hiyo hapo akili kumkichwa.
Ila kuna maeneo mengine pia kama Oysterbay,Msasani na Kigamboni sio mbali na town kwa hiyo fikiria mara mbili.
 
Bora msasani au Oysterbay
 
Mwambie apange Kinondoni Mkwajuni.

Mimi watoto wangu pia niliwatoa private nikawaleta Olympio.

Naishi nao Mkwajuni.
Kumbe unakandiaga English Medium, watoto wako wanaosoma English Medium sio kayumba, hii JF hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…