Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
KAma kaamua watoto wasome kayumba sasa Olympio pa nn tena kuwasumbua watoto kila siku kwenda mjini.Anataka kuwahamishia watoto wake olympio. Walikua shule ya private. Anauliza apange nyumba sehemu gani ili iwe rahisi kwa watoto wake kwenda shule
Maoni na ushauri wako please
Atafute kayumba iliyo karibu na kwake