Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Hii nchi inawezekana kuna kikundi cha watu kiliichukua mateka.

Mama ni pazia tu ndio maana huwa simlaumu saana.

Yawezekana kuna mambo yakitokea hata yeye huwa anaumia lakini kikundi kina m blackmail
Asinge kuwa anasimama kwenye majukwaa kuongelea kitu asichokifanya ,angekemea lakini yeye hafanyi hivyo
 
Sasa kama watu wanajizolea mabilioni yeye anadai wanaotoa Siri si wazalendo huoni wanamwona ni uchochoro?
 
Sasa kama watu wanajizolea mabilioni yeye anadai wanaotoa Siri si wazalendo huoni wanamwona ni uchochoro?
Hayo mabilioni wameyazoa kwenye account za serikali au BoT?

Pili kama wamejizolea yet ndio Rais ameongoza kumwaga pesa za Mirai kina shida gani? Kwa nini tuwe na ambao hawawezi zalisha pesa Kwa Wingi ? Watakuwa na faida gani wa hivyo?
 
Uwezo wa Samia kuongoza ni mdogo sana, ccm wenzake wameshamjua ni mtu anayependa kusifiwa. Kwa hiyo wanamfisia hata kwenye ujinga.

Hili ni funzo kwa ccm wenyewe. Wanapaswa kuwa makini sana wanapoteua mgombea mwenza.
 
Kwamba mtu akisifiwa anluwa na uwezo mdogo sana au? 😆😆

Nyerere, Mwendazake hao wamekuwa wakiabudiwa kabisa vipi hicho kipimo chako Kiko sahihi?

Kiongozi anapimwa.kwa Matokeo na sio hisia zenu za nyege 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DKKEOtyOGdR/?img_index=1&igsh=MTkzMHZscTRhM3NybA==
 
Mfano Magufuli angeedelea Hadi Sasa ni kweli Wana CCM wangethubutu kumshawishi agombee kumrithi Magufuli?

Tuseme TU ukweli huyu alifaa kikatiba tu kumrithi Magufuli baada ya kufariki si vinginevyo. Amekua uchochoro sana.
Hivi "nyumbu wanahangaika kweli kweli" inasemajwe kwa Kimakonde?!!!!
 
Kujenga daraja au Barabara siyo utashi wa rais ni kwa sababu nalipa Kodi kama ingekua ni utashi wa rais bunge la bajeti halina kazi.
Kwani anaemua matumizi ni wewe? Leta kipimo Cha Kiongozi tuone maana unaleta hadithi bila hoja na ukichunguza between lines inakutana na chuki 😆😆
 
Uwezo wa Samia kuongoza ni mdogo sana, ccm wenzake wameshamjua ni mtu anayependa kusifiwa. Kwa hiyo wanamfisia hata kwenye ujinga.

Hili ni funzo kwa ccm wenyewe. Wanapaswa kuwa makini sana wanapoteua mgombea mwenza.
Kwa ugombea mwenza hakua na shida make makamu wa rais kazi yake ni kushikilia kijiti rais akifariki. Na hapa panaitajika katiba iangalie ni Bora akashikilia kwa mwezi Moja TU
 
Hili siyo tatizo lako ni elimu Yako na kama umeelimika basi ujaelewa mfumo wa maamuzi na kama yeye ndiye anapanga kila kitu Hilo na ni tatizo
Tatizo Kwa upeo wako au? Umeshindwa kujibu hoja .

1.Zipi ni sifa linganishi za Kiongozi?

2.Rais anapimwa Kwa vigezo vipi?

3.Kwa nini unaleta hadithi bila hoja Zenye evidence?

Unasukimwa na chuki na kwaanyiki hiyo mtachukia Sana ndio kwanza ni 2025 Hadi ifike 2030 utakuwa unatumia Vidonge vya pressure.

Kiongozi anapimwa Kwa matokeo sio porojo 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DKFNgGlOBJO/?igsh=MWFpcnF6NXA0MGZlMQ==
 
we wait , huyu ndo ametumwa kukiua chama. don't stress yourself.

huyu ndo atakitekketeza chama
 
Hayo mabilioni wameyazoa kwenye account za serikali au BoT?

Pili kama wamejizolea yet ndio Rais ameongoza kumwaga pesa za Mirai kina shida gani? Kwa nini tuwe na ambao hawawezi zalisha pesa Kwa Wingi ? Watakuwa na faida gani wa hivyo?
Ujinga mnaoufanya ni kumbebesha yeye sifa zote mnazoamini ni nzuri katika uongozi wake lakini yale mapungufu na mabaya chini ya uongozi wake hamtaki ahusishwe nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…