Naona hukuwepo enzi za Jiwe, aliyeitwa dikteta uchwara tena hadharani ni nani.Msimkosee adabu kiongozi mkuu wa nchi yetu.mkosoeni kwa staha..mbona jiwe mlikua hamumfanyii huu ujinga?
🤣🤣🤣Hakuna kukosolewa, hakuna kupinga anachosema, fomu moja tu agombee peke yake, anataka wote waimbe 'mama' 'mama', vyombo vya habari viimbe 'mama', bunge liimbe 'mama', vyombo vya dola viimbe 'mama', wasanii waimbe 'mama' wasomi waimbe 'mama', vyama vyote vya siasa viimbe 'mama' na of course ana enjoy.
View attachment 3348276
Kiongozi wa Korea Kaskazini hataki kuona vyama vya siasa, hataki kusikia mpinzani yeyote kwenye nchi yake, haelewani na majirani zake wa damu Korea Kusini, akimkamata mwandishi wa habari kutoka Korea Kusini anamtesa na kumnyonga.
Kwa hali ilivyo sasa Samia ana tofauti gani na Kim Jong Un ambaye hata ukinyoa kama yeye anakunyonga.
Kwa kweli mimi sijui ila sidhani km atawaongeza mishahara mapolisi, wanajeshi, askari magereza na maafisa usalama wa taifa ili tu eti wamuongezee ulinzi wa kuendelea kubakia madarakani mpaka atakapoamua mwenyewe kujiondoaKwa hali ilivyo sasa Samia ana tofauti gani na Kim Jong Un ambaye hata ukinyoa kama yeye anakunyonga.
Sio swala la kumbebesha sifa zote by the way ni sawa kabisa akizineba na kuzizoa zote maana development strides zimefanyika awamu yake.Ujinga mnaoufanya ni kumbebesha yeye sifa zote mnazoamini ni nzuri katika uongozi wake lakini yale mapungufu na mabaya chini ya uongozi wake hamtaki ahusishwe nayo.
Kiongozi wa Korea Kaskazini hataki kuona vyama vya siasa, hataki kusikia mpinzani yeyote kwenye nchi yake, haelewani na majirani zake wa damu Korea Kusini, akimkamata mwandishi wa habari kutoka Korea Kusini anamtesa na kumnyonga.🥺🥺🥺Hakuna kukosolewa, hakuna kupinga anachosema, fomu moja tu agombee peke yake, anataka wote waimbe 'mama' 'mama'.
Anataka vyombo vya habari viimbe 'mama', bunge liimbe 'mama', vyombo vya dola viimbe 'mama', wasanii waimbe 'mama' wasomi waimbe 'mama', vyama vyote vya siasa viimbe 'mama', viongozi wa dini waimbe 'mama' na of course ana enjoy.
View attachment 3348276
Kiongozi wa Korea Kaskazini hataki kuona vyama vya siasa, hataki kusikia mpinzani yeyote kwenye nchi yake, haelewani na majirani zake wa damu Korea Kusini, akimkamata mwandishi wa habari kutoka Korea Kusini anamtesa na kumnyonga.
Kwa hali ilivyo sasa Samia ana tofauti gani na Kim Jong Un ambaye hata ukinyoa kama yeye anakunyonga.
Fact, hakupaswa kuendelea Ila sababu Hana huwezo na nafasi imemkuta yeye imekua fursa kwa wengine kufanya Mambo yaoMfano Magufuli angeedelea Hadi Sasa ni kweli Wana CCM wangethubutu kumshawishi agombee kumrithi Magufuli?
Tuseme TU ukweli huyu alifaa kikatiba tu kumrithi Magufuli baada ya kufariki si vinginevyo. Amekua uchochoro sana.
Pengine yeye anajua kabisa kuna eneo amepelea na inawezekana kabisa hakua na mpango Wa kuendelea Tatizo kubwa ni machawa wanamjaza sana wanajua faida wanayopata akiendelea kuwepoTatizo lake ana kiburi sana. Yaani mtu anajua kabisa kuwa ameingia kwenye hiyo nafasi kwa bahati mbaya tu lakini anashupaza shingo anajiona ana uwezo wa kuendesha nchi. Hopeless kabisaaaa
Kwani unaharisha boss?Mfano Magufuli angeedelea Hadi Sasa ni kweli Wana CCM wangethubutu kumshawishi agombee kumrithi Magufuli?
Tuseme TU ukweli huyu alifaa kikatiba tu kumrithi Magufuli baada ya kufariki si vinginevyo. Amekua uchochoro sana.
Pesa kuzalishwa kwa wingi ni kwa Sababu watu wameongezeka hivyo na wafanyabiashara wameongezeka yaani hata kama asingekuwepo ingeongezeka hata atakaekuja badala yake makusanyo yataongezekaHayo mabilioni wameyazoa kwenye account za serikali au BoT?
Pili kama wamejizolea yet ndio Rais ameongoza kumwaga pesa za Mirai kina shida gani? Kwa nini tuwe na ambao hawawezi zalisha pesa Kwa Wingi ? Watakuwa na faida gani wa hivyo?
Ila kenge ana mwonekano wa kuchekesha!Kenge lenyeweeView attachment 3347839
Putin anaitwa dikteta kwa kuwalinda wananchi wake na kulinda maliasili za nchi yake.Ukiwa kinyume na western nations tegemea hili jina.
Hata Putin anaitwa dikteta.