Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Pesa kuzalishwa kwa wingi ni kwa Sababu watu wameongezeka hivyo na wafanyabiashara wameongezeka yaani hata kama asingekuwepo ingeongezeka hata atakaekuja badala yake makusanyo yataongezeka
Ona Jinga hili,Kwa hiyo watu wakiongezeka basi hela zinajiongeza?

Kwa nini wafanyabiashara waongezeke kama Hali ya kiuchumi ni mbaya? 😁😁

Hadi Sasa hujaleta vigezo vya Rais Bora naendelea kupiga spana za shingoni ,hakuna kima wa kumsogelea Samia soma grafu hizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DJvsMDMSlVM/?igsh=b2ZsdWR4ZjZkdmF1
 
Kwahiyo ukimlinganisha Samia na hao viongozi wengine ndio hatukuti makosa na mabaya kwenye uongozi wa Samia? Nachozungumzia ni kwamba kila sifa mnayoona nzuri mnamuhusisha yeye ila kwenye mapungufu ya kwenye uongozi wake ndio hamumuusishi nayo yani hayo hayamuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…