CCM itoke haraka madarakani ndugu wanabodi manake tutaendelea kutawaliwa kimabavu hadi lini?Kukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca
Nyeti za Nani zina-fungus???ubaya zaidi zina fungus
Ila wale ndege Wana kunya hovyo sana....Shinyanga mjini yote inanuka mavi ya ndege JohnNdege John
Unawaza nyeti tuKukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca
Li-nchi limechangamka sio kitoto...Mtu hata aandae ki birthday jamani, tupate mic.... Ili ilete press no 2.
Utaota malengelenge mdomoniHuyo ndege mwenye fungus kwani hafai hata kufanywa supu tunywe!?
HaloooStory za ndoa ya yule msanii zimeshasahaulika. Vivo hivyo ile kesi haijasikika kabisa leo.
Nchi ngumu sana hii.
Hivi mkuu mliwaza nini hadi mkampa nchi mtu ambaye ni form four failure?Kukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca
Huyu mchungaji si ndo waliyekuja kumteka baadaye au ni mwingineNakumbuka Unabii wa yule Mchungaji wa Arusha, alisema...!
"Mungu atamfanya awe kama Binti wa miaka 19, atayafanya Mawazo yake yawe kama ya Mtoto wa Umri huo, pia atawafanya Wasaidizi wanaomshauri wawaze kama anavyowaza yeye (Kama Binti wa miaka 19)"
Sio nchini tu,hakufaa kuwa binadamu alifaa labda awe Nguruwe na Mbwa koko.Huyu mama hafai kuwepo nchini sio Ikulu tuu.
Huyu atakuwa bundi.Ona sasa tunavyoaibika, ndani na nje!
Kesi ya lissu imetrend vilivyo angalia ufatiliaji online huko labda kama unazungumzia bunge kibudu linaloendelea hukoStory za ndoa ya yule msanii zimeshasahaulika. Vivo hivyo ile kesi haijasikika kabisa leo.
Nchi ngumu sana hii.
Ndege joniInategemea na aina ya ndege, sasa sijui mwenzetu unamuongelea ndege gani
This message is like an elimination order. Kuna watu ni kama hatunao hivi, maana hata ukifunika nyeti bado fungus ni tatizo. Ukitibu fungusi vipi 'ushauri' kutoka mapenzini mwa Delilah?Kukaa kimya ni busara hasa ukiwa mtu wa kutoa maamuzi ya MWISHO,
Ushauri wa hovyo umeacha nyeti za ndege wazi, na ubaya zaidi zina fungus …
Dawa yake ni nini ?
Britanicca