The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Hatari sana....!Hahahah na walimkamata wakampiga nusu wamuue. Ila hii nchi hakika Dkt Magufuli alisema tutamkumbuka
Kila siku nipo hvyLeo umeongea kama mpare mwerevu
Aah wapi utumbo mwingi sana😂Kila siku nipo hvy
Ww ndo umesema hvyAah wapi utumbo mwingi sana😂
Tumekaa pale. Usifute tu hii comment.Ndoto za alinacha hizo.
washauri wake wakimwambia kuwa piga Abdul risasi atampiga? Si atatumia akili ake kama amfyatue au hapana! anajua fika anachokifanya kuwa ni kibaya sana tena sana na namkosea mungu wa hijab lakini, ameshakuwa agressive supreme of powerAmedanganywa na washauri wake?
Genge la wahuni.nyuma yake ndiyo TatizoTokea akiwa Makamu wa Rais, alinasibishwa na tabia ya upole na ustaarabu!
Ilitarajiwa kuwa tabia hiyo ingeendelea hata kwenye Urais aliououpata mwaka 2021. Mwanzoni watu walipata matumaini, lakini haukupita muda mrefu kabla haijathihirika kuwa matumaini hayo ni "ndoto za Alinacha"
Nilishtuka na kushangaa pale alipoanza kujibizana na wanaomkosoa kwa kejeli zisizostahili kutumkwa na yeye kama mama na Kiongozi mkuu wa Kitaifa! Mama ni kumbe mwenye huruma! Rais ni Mfariji Mkuu wa watu wake!
Kejeli kama:
1. Katiba ni kijitabu tu!
2. Kifo ni kifo tu!
3. Utekaji ni vidrama, n.k., havikustahili kutamkwa kinywani mwake?l!
Nini kimempata?
Amedanganywa na washauri wake?
Pata pawa uhalisia wako ujitokezeTokea akiwa Makamu wa Rais, alinasibishwa na tabia ya upole na ustaarabu!