Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kejeli kama:
1. Katiba ni kijitabu tu!
2. Kifo ni kifo tu!
3. Utekaji ni vidrama, n.k., havikustahili kutamkwa kinywani mwake?l!

Nini kimempata?
Huyo anapangiwa vitu vya kuongea na invisible state kama ile iliyokuwa inamzuia Mwendazake asiendeshe gari hata akiwa na hamu kiasi gani
 
Tumsikilize Lucas Mushambwa live akiwa studio tasafali?
 
Mlitegemea aendelee kuwa mpole ili mfanye yenu na ford foundation ee?
Baado saana
 
Kwamba tangu alipoingia madarakani 2021 anadanganywa tu, kwamba yeye mwenyewe haiwezi kufikiri!!

Hapana, anafahamu sana kinachoendelea kwa vile sio siri tena.
 
Mama kawa mkali kweri kweri

Na bado ana miaka 5 😄

Ova

Kuna kitu hakiko sawa. Ukali unaletwa na nini?

Haya yanayofanyika gharama yake kwenye uongozi inakuwaje na itabebwa na nani?
 
Wanawake wenye vyeo wakiambia hawanauwezo maneno hayo yawanawatoa kabisa kwenye reli tofauti na akiambiwa mwanaume. Mwanamke mwenye madaraka yuko kama unavyomwona mtu aliyekunywa pombe akalewa na anataka kujicontrol asionekane amelewa. Katika kujibalance huko wakati fulani anajikuta anayumba na wakati fulani kuanguka. Mwanamke yuko radhi ambiwe katili, jeuri, chuma, dictator anavurugu kisakolojia inampa kujiamini kidogo kuliko ambiwe hana uwezo. Ili kuibalance hiyo hali ushauri wowote atakaopewa na mwanaume anayemwamini ataufanyia kazi ili mradi tu alinde nguvu anayofeel anayo. Hiyo ni nature kwahiyo ni lazima anawaongoza wakumbane nayo hasa ikiwa ushauri unaotolewa unamatokeo hasi kwa watu wengine.
 
Hakuna wakusingiziwa kwa lolote linaloendelea nchini. Ni maamuzi yake na yeye ndiye katufikisha hapa.
Apitishe katiba mpya na akubali reforms!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…