Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mafwele huwadhalilisha sana, katiba mpya ni muhimu ili iwape jwtz heshima yao kama mataifa mengine jeshi la Ulinzi huheshimika sana
Hivi heshima unapewa na mtu au heshima unaileta wewe mwenyewe..? suppose uko na nguo nzuri za heshima halafu unavaa malapu lapu unakwenda sokoni..ukichekwa kuna mtu atafanya kukuletea heshima zaidi ya wewe kuvaa nguo nzuri ulizo nazo??
mnatetea ujinga wa watu wamejitweza wao wenyewe! mbona kuvua watu uniform zinazofanana na zao wanaweza kufanya bila kusaidiwa..!
 
Achana na story za vijiweni. Uliza waliopo ndani
Si unajua kijiweni kuna za kweli na za uongo, kikubwa masaa yaende. Ila nimeona kama IGP na vijana wake wana nguvu kuliko JWTZ hivi ni kweli ? Maana ni ajbu sana, hadi JWTZ kufanya mazoezi na Askari Polisi.. kama IGP kawa juu flani au mawenge yetu tu
 
PSU ni nini MKUU?? bado uko dunia ya miaka ya 80 hakuna kitu kama hicho nyakati hizi JIUPDATE.

By the way unaowaona mafala ndo wameibeba hii nchi mpaka sasa vinginevyo mlikua mnasaga meno
Jwtz wameshindwa kutimiza kiapo chao cha kulinda mipaka yetu ndio maana majeshi toka Uganda yaliweza kuingia nchini na kuwaua vijana wetu kwa amri ya Samia!! Vijana wa JWTZ hawana budi kulinda heshima ya nchi yetu; hao wazee wamelambishwa asali, wakina Nkunda hawawezi kulinda kiapo chao tena!
 
JWTZ haina tena hadhi ya kuitwa jeshi, lile ni takataka kabisa.

Ye, tunajua uwezo wa kuchukua nchi hawana, basi hata kuzuia tu mauaji wakashindwa?

Yaani watu walikuwa wanapigwa risasi mbele yao mpaka watoto, halafu wenyewe kazi yao ikawa ni kuokota maiti tu na kupakia kwenye gari lao... sasa bado mnaliita jeshi la kulinda wanainchi hilo si ni taka taka tu ambazo zinajua kupasua matofali kwa vichwa basi.
 
Mkuu , nimefurahi kukuona jukwaani baada ya kitambo kirefu.
 
Father watu kama ninyi sijui Hadi tuseme tukiwa uchi au tunatomber makaa ya moto ndo muelewe na kusikia!
Hapa Kila mara tunasema kuwa hili jeshi lipo Kwa ajiri ya kulinda watawala na posho na hili limejidhihirisha wazi MO29.

Sijui Hadi tutumie Lugha Gani uelewe. Jeshi limeshuhudia Kwa macho Yao raia wakiuliwa mchna na usiku wakiona bila kusimuliwa na siraha wanazo halafu eti Bado unajipa tumaini jeshi jeshi jeshi ..... watanzania tunaujinga wa milele.
 
Zamani tulipokuwa tunakua baada ya Nyerere kulifumua Jeshi, askari polisi walikuwa hawafanyi fyoko mbele ya askari Jeshi!!! Toka huyu mama aingie madarakani amejaribu kuwafanya polisi ndio weneye nguvu kuliko askari wa JWTZ kwa makusudi ; na matokeo yake ndio hao wakina Mafwele!!!
 
Father uko sahihi. Imagine mjeda anatekwa na mafwele!!
 



​
20142015201620172018201920202021202220232024
Defence Spending (USD Billion)0.50330.56180.54470.53950.59990.61270.69530.77120.88030.93230.9598
GDP (Billion USD)49.9847.4249.7754.0054.7858.8063.3767.9674.1779.1480.17
Defence Spending as % of GDP1.01%1.18%1.09%1.00%1.10%1.04%1.10%1.13%1.19%1.18%1.20%
Source: Tanzania - DefenceWeb
Ukiruhusu akili ifanye kazi yake inavyotakiwa, takwimu za hapo juu zina majibu pia..trend ya matumizi kati ya 2016 na 2020 ni ya kupanda na kushuka ikiwa na limit ya kutovuka 1.10% lkn kuanzia 2021 haijawahi kushuka..! nini lengo na dhamira ya kufanya hivi..? je trend hii ndio imewafreeze waone hata km anayepitisha matumizi haya atakuwa mbaya kwa kiwango cha kuamrisha mauaji ya ndugu za..wao hawawezi kuchukua hatua yeyote sababu ni km walishanunuliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…