relax gentleman,One of the leads to get you:
Wewe ni mbunge—-
Cha pili nitakwambia baada ya kumaliza kazi
Sheria inasema hukumu yao kifo bila kufikishwa mahakamani?Wake waliokuwa wanaiba, kuvinja mali, na kufanya uvunjifunwa amani?
nchi zote duniani ikiwa ni pamoja na Tanzania,Sasa silaha zimesaidia nini zaidi ya kuwaweka matatizoni waliotoa amri na kuzitumia kuua Watanzania wenzao kwa maelfu. Unafikiri ushahidi wake unafutika hata kwa jiki? Ni jinai na hiyo jinai huwa haifi😉 so kuwajibika kuko pale pale hata mkijizima data.
nchi zote duniani ikiwa ni pamoja na Tanzania,
zitaendelea kujizatiti kwa teknolojia ya ulinzi na silaha za kisasa ili kujilinda na kudhibiti uharamia, vitendo vya kigaidi na ulofa wa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ili hatimae wanainchi waewe salama na wenye amani wanapoendelea na shughuli zao za maendeleo.
Hakuna nchi duniani inanunua sila kwaajili ya kulinda panya au ngurue bali ni kuthibiti viendo haramu vya kihalifu ikiwa ni pamoja na magaidi wavuruga amani, waporaji, walipua vituo vya mafuta, waharibu miundominu na wale wote wenye tabia nonsense kama hizo.
waambie na malofa wenzako kuhusu hilo gentleman.
usiwafiche kitu
Gentleman,Kuahirisha kufikiri kwa usahihi ni tatizo kubwa kuliko cancer. Sasa ona mnavyohangaika na tume yenu ya mchongo kujaribu kufunika funika ukweli ila kila shahidi anaishia kuwaumbua😂 mwisho mmeona ushahidi wa live hamuutaki.
Na ukamfikisha salama kweli. Umelikosea sana taifaNilimpa lifti Polisi mmoja kumbe alikuwa amelewa na akawa anatamba ni sisi tuliwaua ile tarehe 29 na tulipewa Amri tuue watu kutoka juu.
Yale yalikuwa machafuko yenye lengo la kuipindua serikali, huwezi kuipindua dola yenye miaka zaidi ya 60 halafu ikupokee kwa maua kwa kukuwekea zulia jekundu.Naona giza mbele! Unarudishaje roho za maiti over 10,000 ( inavokadiriwa). IMPOSSIBLE! WHAT NEXT?
Shoot to kill was not a good option!
Machafuko (vita) huwa rahisi kuyaanzisha lakini ngumu kuyamaliza. Tuombe Mungu yale mauaji yasijirudie tena.Uvunjifu wa amani unaufanyaje ukiwa sebleni kwako au kwenye banda la mpira ukiwa unacheki game? Je, waliouliwa kwenye mazingira haya unawaelezeaje?
Kwamba raia hawajauwawa?mnalipwa nini kueneza huu upuuzi
Nae waliouliwa wakiwa majumbani mwao nao vipiYale yalikuwa machafuko yenye lengo la kuipindua serikali, huwezi kuipindua dola yenye miaka zaidi ya 60 halafu ikupokee kwa maua kwa kukuwekea zulia jekundu.
Shoot to kill ilifanyika Zanzibar 2001 Mkapa akaomba radhi kwenye kitabu alichoandika baada ya kustaafu.
Huyo huyo Mkapa alifanya unyama mwingine dhidi ya waislam kule Kigoma miaka ya 90 katikati.
Mwinyi akafanya unyama wa mwembechai, kuilinda dola huwa kazi ngumu sana kwa marais wetu.
Ndio machafuko yenyewe hayo, ndio kukinukisha kwenyewe huko. Kwa kifupi tusiombee tena ushenzi ule ukajitokeza.Nae waliouliwa wakiwa majumbani mwao nao vipi
Kwaiyo watu waliokufa wakiwa ndani walikuwa na hatia gani mpaka wauwawe?Ndio machafuko yenyewe hayo, ndio kukinukisha kwenyewe huko. Kwa kifupi tusiombee tena ushenzi ule ukajitokeza.
Hata magaidi,maharamia,wauaji,majambazi,watekaji ,hununua silaha kutekeleza uovu wao na kujilinda.nchi zote duniani ikiwa ni pamoja na Tanzania,
zitaendelea kujizatiti kwa teknolojia ya ulinzi na silaha za kisasa ili kujilinda na kudhibiti uharamia, vitendo vya kigaidi na ulofa wa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ili hatimae wanainchi waewe salama na wenye amani wanapoendelea na shughuli zao za maendeleo.
Hakuna nchi duniani inanunua sila kwaajili ya kulinda panya au ngurue bali ni kuthibiti viendo haramu vya kihalifu ikiwa ni pamoja na magaidi wavuruga amani, waporaji, walipua vituo vya mafuta, waharibu miundominu na wale wote wenye tabia nonsense kama hizo.
waambie na malofa wenzako kuhusu hilo gentleman.
usiwafiche kitu
Mwamba kwahiyo ushaamini stori za kutungwa na kusambazwa na wajanja wa mfumo?Na ukijulikana yatakukuta yaliyomkuta mlinzi wa watekaji na wafiraji wa wanaowateka Mafwele. Maana kabla hajaenda ICC kapewa dawa na colonel Augustine Polepole mzalendo HALISI, subirini mtaanza kufanya uchawa wenu kuishambulia ICC
ChaiNilimpa lifti Polisi mmoja kumbe alikuwa amelewa na akawa anatamba ni sisi tuliwaua ile tarehe 29 na tulipewa Amri tuue watu kutoka juu.
Huyu tayari manii ziko zimefika kwenye ubongononsense kabisa,
na wewe jifanye lofa ukajaribu kujifanya gaidi anaedai haki ya kulipua vituo vya mafuta, kuchoma maduga na nyumba za wananchi, kupora fedha ATM au kuharibu miundombinu halafu upewe zawadi yako na uende nayo kwenu na kuwapatia wazazi wako huzuni.
lofa kweli wewe,
unadahani mataifa yananaunua silaha za kisasa kwaajili ya kupigia panya?
calm down ndugu mamluki lofa zaidi wa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi,Huyu tayari manii ziko zimefika kwenye ubongo
bosi wako yuko kwenye majuto makuu, wewe mwenyewe njaa zako ndio zinakufanya umsifie usiku kucha.calm down ndugu mamluki lofa zaidi wa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi,
tuliza mihemko nonsense kwenye mjadala
Jf mnasubiri nini kufungia hii takataka? This platform shouldn't entertain any contributions which support deliberately the killing of our fellow citizens by using neither the umbrella of freedom of expression nor dare to speak openly slogan, please moderators! Huyu kima anavuka hadi mstari sasa na ndiyo hawa hawa walioifungia Jf. for more than fucking 90 days.
Gentleman,bosi wako yuko kwenye majuto makuu, wewe mwenyewe njaa zako ndio zinakufanya umsifie usiku kucha.