Wewe juha chawa unayepakatwa wapi nimesema Yale hayakuwa maandamano? Nimekupa mfano USA wakati wa maandamano yaliyosababishwa na George Floyd aliyeuliwa na polisi mweupe na yakaenea almost sehemu nyingi wapi uliona wakiuliwa watu wanaoandamana?Umesema maandamano yale hayakuwa maandamano zilikuwa vurugu zenye nia ya kuiangusha serikali.
Maandamano yanakuwa na utaratibu wenye kueleweka, wapi yanaanzia na wapi yanamalizikia.
Maandamano yanakuwa na mabango yenye kufikisha ujumbe ambao waandamanaji wanataka uwafikie wahusika.
Yalifanyika maandamano yakiongozwa na Mbowe kuna polisi yoyote aliyeingilia kati na bunduki?.
Lissu hakufunguliwa kesi ya mchongo, alisema hadharani atakinukisha na hakuishia kusema tu amesimamia mipango ya hatari ya kuhakikisha 29 October mapinduzi yanafanyika.
Mbona wewe hujatekwa upo huru unaandika maoni yako hapa JF muda huu?. Ukiona mtu katekwa maana yake anayo matatizo yanayomfanya atekwe.
Kuiharibu nchi mliiharibu siku ile mlipofanya zile vurugu kwa kuchoma moto vituo vya mwendo kasi, vituo vya mafuta na kuvunja maduka ya watu kule sinza.
Mngeachiwa mkaingia ikulu na kubadilisha uongozi wa nchi hizi kelele za watu wasio na hatia kuuliwa zingesikika?.
Mpango wenu wa kipuuzi wa kutaka kuipindua nchi ungefanikiwa mngeenda kutia huruma huko ICC?.
Unaponiita mimi chawa unasahau kuwa wewe pia unachokifanya ni uchawa huo huo kwa kina TAL na Heche!.Wewe juha chawa unayepakatwa wapi nimesema Yale hayakuwa maandamano? Nimekupa mfano USA wakati wa maandamano yaliyosababishwa na George Floyd aliyeuliwa na polisi mweupe na yakaenea almost sehemu nyingi wapi uliona wakiuliwa watu wanaoandamana?
Unataka maandamano kama ya kupongeza fikra sahihi za mwenyekiti? Tatizo la kutumia kinyeo kufikiria badala ya ubongo.
Mpumbavu wewe Mbowe hakuongoza maandamano kutoka kinondoni kudai wasimamizi wa CHADEMA waapishwe wakarushiwa risasi mkamzuia Akwilina mbwa wewe?
Tunasikia huko kwenye mwenendo wa kesi kuna sheria yeyote unayosema kuzuia uchaguzi ni Kosa? Ipi ulizia kwa hao waliokuprogram akili yako uje na jibu?
Kujitoa madarakani serikali iliyopora uchaguzi ambao hata taasisi za kimataifa zikiwemo za Africa kama AU na SADC wamesema haukuwa huru na haki ndio njia pekee iliyobakia kwa wananchi. Kuwaua hata ambao hawakuandamana, na kisha kuwafukia kama kuku waliokufa kwa mdondo ni sawa? Kwa nini hamkukabidhi miili kwa wapendwa wao wakazikwe?
Kama kuua ni haki kwa nini wachunguzi wanakuja kuchunguza tuhuma za mauaji ya kimbari?
Chawa wote nyie mnatumia vinyeo kufikiria ndio maana reasoning capacity yenu ni ndogo mbwa nyie
Wewe juha mimi ni advocate wa utawala bora wenye haki na amani kwa kila anayekemea maovu, hata wewe ungekuwa unakemea maovu tungekuwa sambamba that's the difference.Unaponiita mimi chawa unasahau kuwa wewe pia unachokifanya ni uchawa huo huo kwa kina TAL na Heche!.
Maandamano lazima yawe na mpangilio hata huko US hawajiendei tu lazima yawe na uongozi.
Vijana mnaweza kuwa mmechoshwa na CCM lakini utaratibu lazima ufuatwe, haiwezekani nchi ikajiendea kihuni tu no way my friend.
AU wangekuwa hawamtambui Samia asingeweza kwenda Ethiopia akahudhuria mkutano mkuu uliomalizika wiki chache zilizopita.
Punguza mapovu unapoandika.
Hakuna nchi inaitwa Tanzania bara rudi darasani, tarehe 9 December 1961 iliposhushwa Union Jack ilipandishwa hii hapaKwa sasa inaitwa "tanzania bara"
Sawa mkuu,Hakuna nchi inaitwa Tanzania bara rudi darasani, tarehe 9 December 1961 iliposhushwa Union Jack ilipandishwa hii hapaView attachment 3547668
katika bunge la katiba Lissu ndo alisema maneno hayo akimaanisha mwalimu nyerere aliivika tanganyika joho la tanzania kwa amri , hapa ilikua kwenye kulalamikia muundo wa muungano maana zanzibar wanakatiba na raisi , ila huku tanganyika vitu hivyo vipo kwa jina la tanzania (na wakati huohuo tanzania ni muunganiko wa tanganyika na zanzibar)
article mwananchi
video link youtube japo quality ya video ni hafifu sana
View: https://www.youtube.com/watch?v=4Yvp-8AKWgc
Hili jamaa kwa lugha nyepesi ni sen..nchi zote duniani ikiwa ni pamoja na Tanzania,
zitaendelea kujizatiti kwa teknolojia ya ulinzi na silaha za kisasa ili kujilinda na kudhibiti uharamia, vitendo vya kigaidi na ulofa wa mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ili hatimae wanainchi waewe salama na wenye amani wanapoendelea na shughuli zao za maendeleo.
Hakuna nchi duniani inanunua sila kwaajili ya kulinda panya au ngurue bali ni kuthibiti viendo haramu vya kihalifu ikiwa ni pamoja na magaidi wavuruga amani, waporaji, walipua vituo vya mafuta, waharibu miundominu na wale wote wenye tabia nonsense kama hizo.
waambie na malofa wenzako kuhusu hilo gentleman.
usiwafiche kitu
Tahira weweDr. Samia Suluhu Hassani ndie kiongozi mkuu wa Tanzania na amerijeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, ambae pia ni kipenzi cha waTanzania wote.
Chuki nonsense za mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ni useless kabisa na haziwezi kubadili utawala wa Tanzania madhubuti chini ya CCM imara
Wewe chawa juha soma hiyo hukumu ya mahakama ya haki za binadamu, mnafikiri dunia ni Chimwaga au Lumumba?Yale yalikuwa machafuko yenye lengo la kuipindua serikali, huwezi kuipindua dola yenye miaka zaidi ya 60 halafu ikupokee kwa maua kwa kukuwekea zulia jekundu.
Shoot to kill ilifanyika Zanzibar 2001 Mkapa akaomba radhi kwenye kitabu alichoandika baada ya kustaafu.
Huyo huyo Mkapa alifanya unyama mwingine dhidi ya waislam kule Kigoma miaka ya 90 katikati.
Mwinyi akafanya unyama wa mwembechai, kuilinda dola huwa kazi ngumu sana kwa marais wetu.
tuliza mihemko mamaluki lofa na porojo zako nonsenseTahira wewe
tuliza mihemko nonsense ndugu mamluki,Hili jamaa kwa lugha nyepesi ni sen..
Hivi kuna siku hata moja Kuna mtu aliyelike upumbavu wako kwa mfano?tuliza mihemko nonsense ndugu mamluki,
changia hoja bila hasira
like au dislike haibadili ulofa wako nonsense JF gentlemanHivi kuna siku hata moja Kuna mtu aliyelike upumbavu wako kwa mfano?
Yaani weetuliza mihemko mamaluki lofa na porojo zako nonsense
relax mamluki with empty head bali mihemko nonsense tuYaani wee
we hunatofauti na maiti.zero brain kabisa. Huwa unatujazia nonsense humu ndani
Maandamano ya George Floyd huwezi kulinganisha na huu uhuni wa tarehe 29 October, bila hata kufikiria madhara ya mlichofanya mkataka tena muingie mitaani tarehe 9 na 25 Desemba!.Wewe juha mimi ni advocate wa utawala bora wenye haki na amani kwa kila anayekemea maovu, hata wewe ungekuwa unakemea maovu tungekuwa sambamba that's the difference.
Nakuuliza na narudia kukuuliza kama hutumii kinyeo utanijibu, maandamano yaliyofanyika USA yaliyosababishwa na kuuliwa kwa George Floyd maarufu kwa jina la black lives matter kulikuwa na uongozi gani? Na mali ziliharibiwa waliuliwa wangapi?
Hakutambulishwa kama rais mpya aliyechaguliwa zaidi ya propaganda za Kombo mzanzibari mwenzie. Tutatumia lugha Kali na ngumu kwenu nyie mnaopakatwa mlio tayari taifa liangamie kama vile ambavyo limegawanyika haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania kutetea wafiraji wa watanzania. MNAPAKATWA MACHAWA NYIE
Hamna ubaya mbona kama ni Abdul mambo yako sawa tu!! Wafanyakazi wa Serikali wanalipwa mishahara, miundombinu inajengwa ma nchi iko kwenye utulivu.Kizimkazi ametoa mamlaka yote kwa mtoto kuendesha Tanganyika, yeye akiwa zanzibar.
Ikitokea minong’ono, wanaandaa tukio, anakuja bara, alafu uyo anarudi zake.
Tanganyika ilimkosea nini Mkwere hadi kuiweka kwenye huu msiba. Mauaji ya kimbari, kutekwa, kulawitiwa na ufisadi wa kihistoria..,