Kuna jambo la kuchekesha.Ukweli wala hatumsemi vibaya tunamsema ukweli, tuna kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea.
Sijui waandamizi walifikiriaje kumpa mtu wa namna hii kuongoza, WTF!!
POLISI wapindue nchi!!Shida ni kuna watu watakuamini.
Mimi nina marafiki wapo kada tofauti tofauti za usalama na hakuna anayejuta kubababake.
Mnamkumbuka Tesha? Na story kwamba JWTZ lipo nyuma ya wananchi? Dafuq happened?
Mnajua kwamba kihistoria wapindua nchi ni polisi au wanajeshi? So hichi kinachosemwa kwenye uzi ili kilete maana ilibidi walalamishi wawe polisi au wanajeshi siyo TISS.
Amani ni niniNchi imekosa amani
Hata wananchi wa kawaida hawana uwezo wa kupindua serikali.POLISI wapindue nchi!!
Historia ya nchi gani walipindua nchi polisi mkuu?
Kwamba na polisi wetu wakiamua wanapindua nchi?!
Muulize Lucas Mwashambwa na kilio cha NIDA na nyumba za wa geni maana ndio wana kufumua maviShule zimesha funguliwa au bado?(Bora warudi mashuleni)
Hakuna kitu ambacho hapa usalama wanajilaumu tena tukiwa bar kama kukubari ikichama cha CCM kufikisha hapa.
Na CCM wapo wanajuta kwa nini walishindwa kujua huyu mtu kuwa raisi.
Sio vizuri kusema mengi ila wananchi ndio watasema wenyewe siku itafika.Mtamkuta kasha weka makazi yake mazuri na pesa zenu kaondoka nazo na madeni juu.
Hivi kuna kiongozi ambae aliwahi kupita akisifiwa wakati yuko madarakaniHakuna kitu ambacho hapa usalama wanajilaumu tena tukiwa bar kama kukubari ikichama cha CCM kufikisha hapa.
Na CCM wapo wanajuta kwa nini walishindwa kujua huyu mtu kuwa raisi.
Sio vizuri kusema mengi ila wananchi ndio watasema wenyewe siku itafika.Mtamkuta kasha weka makazi yake mazuri na pesa zenu kaondoka nazo na madeni juu.
Hivi ushafika hata nje.Wenzako wanaacha kumbukumbu na legends we unaacha sifa za kihayaHivi kuna kiongozi ambae aliwahi kupita akisifiwa wakati yuko madarakani
Si umeona hata hauwezi kucounter hoja unakimbilia matusi?Ogopa wajinga 10 unapambana na mtu 1.mjinga ni mjinga tu kama wewe
Kwakua umeniquote hapa na kunijibu inamaanisha una MB na device. Sasa anza google "police state" halafu malizia na nchi ngapi zimepinduliwa na polisi.POLISI wapindue nchi!!
Historia ya nchi gani walipindua nchi polisi mkuu?
Kwamba na polisi wetu wakiamua wanapindua nchi?!
Mjinga anajibiwa kwa ujinga wake.Uwezi kumsaidia mjinga kwa ujinga wakeSi umeona hata hauwezi kucounter hoja unakimbilia matusi?
Bado hauna akili ya kujenga hoja na mimi. Ila nipo radhi kushuka na kuanza kuandika matusi kama wewe.Mjinga anajibiwa kwa ujinga wake.Uwezi kumsaidia mjinga kwa ujinga wake
Tatizo lipo hapaMambo mengi nchini hayaendi vizuri kabisa. Je, tatizo ni CCM au ni rais Samia?
Karibu uchangie, topic ipo very clear.Halafu sometimes acheni kuuliza maswali ya kiwaki humu na nyuzi fupi km mkojo wa nungunungu ndio nini?