SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Sukuma Gang ndiyo wanaendesha huo uhalifu ili kumchonganisha Rais Samia na wananchi, hawa watu ni wahutu waliojivika usukuma ili kupata uungwaji mkono kwa vile Wasukuma ni kabila lenye idadi kubwa ya watu. Wahutu ni watu wa vurugu wamezoea kuuana huko kwao.Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.
Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.
Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
Sukuma Gang ni genge la watu walioamua kumchukia Samia kwa sababu walikuwa na mtu wao waliyetaka awe Rais kinyume na Katiba ya nchi....Kwamba, Samia,CDF,IGP,DGIS na wengine wote waliokuwa wateule wa Magufuli ni timu Sukuma gang siyo?!
Hivi Majambazi tuliokuwa tunaambiwa miaka 2 iliyopita wameuawa Dar, Mwanza, Mbeya, Kigoma mara 2, Arusha nk haikuwa kweli yalikuwa maigizo? Mbona mnataka kuleta mapambio ya kijinga mkidhani tutarudi Misri?Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.
Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.
Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
Wanaleta mapambio ya kipuuzi wakidhani tumesahau? Askari mwingine alikatwa visu kwenye ziara ya Magufuli mbona hawasemi?Eti ujambazi umeongezeka,utadhani jiwe alikuwa anafanya patrol mitaani.
Ni ukuzaji tu wa mambo..kipindi cha jiwe kuna askari wa Crdb waliuliwa chanika majambazi yakapora hela ingekuwa kipindi hiki cha mama hii stori ingekuwa balaa.
Supussy gang tulieni
The law enforcement agent might be desperate for the approach to confront the perpetrators being flexed and motivational pride neutralIzed through KPIs evaluation. Freedom of the crooks have been let out to breathe the right of life without controlHizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.
Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.
Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
Huo ujambazi umepamba moto huko usukumani?Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.
Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.
Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
Unamaanisha majambazi wakubwa wa nchi hii ni wasukuma?Sasa kama wao walikomesha hali hiyo kwa nini asishirikiane nao ili kukoma kwa hali ile iendelee?
Watu wamenufaika sana na mfumo wa kuendesha nchi bila kufuata misingi ya Haki za binadamu kwa kupora raia kwa nguvu na vitisho.Mama ni mpole kupita maelezo na huu ni mwanzo tu japo ni ujinga kusubiri mtu wa juu atoe vitisho wakati mamlaka ziko vilevile
Acheni ujinga, kwani sukuma gang ndio wanaendesha vitendo vya kijambazi ?Sukuma gang wanamhujumu mama.
Njaa imekua kali sana ccm mana vibaka wote mali yao,arusha wanae jumanne mjusiHizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.
Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.
Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
Uharamia haufichiki hoja yako ni mfu ndg.
Rejea mauaji ya Rufiji.
Lini hali hii haikuwepo?Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.
Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.
Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
Na huu ndio ukweli.Hakuna ujambazi ulio ongezeka.tofauti ni kwamba miaka mitano nyuma vyombo vya habari havikuwa huru kuripoti..na sasa vipo huru .mwendazake alikuwa raisi wa hivyo kabisa
Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.
Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.
Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
Majambazi walipewa kazi ya kuteka na kuua waoinzani. Sasa hivi kitengo kimevunjwa so wamerudia tena kazi yao ya zamaniHizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.