Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.

Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.

Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
Sukuma Gang ndiyo wanaendesha huo uhalifu ili kumchonganisha Rais Samia na wananchi, hawa watu ni wahutu waliojivika usukuma ili kupata uungwaji mkono kwa vile Wasukuma ni kabila lenye idadi kubwa ya watu. Wahutu ni watu wa vurugu wamezoea kuuana huko kwao.
 
...Kwamba, Samia,CDF,IGP,DGIS na wengine wote waliokuwa wateule wa Magufuli ni timu Sukuma gang siyo?!
Sukuma Gang ni genge la watu walioamua kumchukia Samia kwa sababu walikuwa na mtu wao waliyetaka awe Rais kinyume na Katiba ya nchi.
 
Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.

Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.

Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
Hivi Majambazi tuliokuwa tunaambiwa miaka 2 iliyopita wameuawa Dar, Mwanza, Mbeya, Kigoma mara 2, Arusha nk haikuwa kweli yalikuwa maigizo? Mbona mnataka kuleta mapambio ya kijinga mkidhani tutarudi Misri?
 
Eti ujambazi umeongezeka,utadhani jiwe alikuwa anafanya patrol mitaani.

Ni ukuzaji tu wa mambo..kipindi cha jiwe kuna askari wa Crdb waliuliwa chanika majambazi yakapora hela ingekuwa kipindi hiki cha mama hii stori ingekuwa balaa.

Supussy gang tulieni
Wanaleta mapambio ya kipuuzi wakidhani tumesahau? Askari mwingine alikatwa visu kwenye ziara ya Magufuli mbona hawasemi?
 
Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.

Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.

Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
The law enforcement agent might be desperate for the approach to confront the perpetrators being flexed and motivational pride neutralIzed through KPIs evaluation. Freedom of the crooks have been let out to breathe the right of life without control
 
Kipindi cha huyo mwendazake tulisafishwa tv mtaa mzima, na hatukuzipata hadi leo. Kifupi nchi ilikuwa inaenda kipropaganda, sasa kila kitu kipo wazi, nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Utawala wa giza umeenda na mhutu
 
Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.

Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.

Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
Huo ujambazi umepamba moto huko usukumani?
 
Mama ni mpole kupita maelezo na huu ni mwanzo tu japo ni ujinga kusubiri mtu wa juu atoe vitisho wakati mamlaka ziko vilevile
Watu wamenufaika sana na mfumo wa kuendesha nchi bila kufuata misingi ya Haki za binadamu kwa kupora raia kwa nguvu na vitisho.
kinachofanyika sasa ni kwamba kuna watu wana hasira na utawala wa sasa na kinachofanyika ni mkakati ulioandaliwa vyema, kuhujumu nia njema ya serikali ya sasa ili turudi tulikotoka.
 
Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.

Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.

Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
Njaa imekua kali sana ccm mana vibaka wote mali yao,arusha wanae jumanne mjusi
 
Zinahitajika takwimu kabla ya kujadili swala hili. Ujambazi umeongizeka. NANI kasema? Seriously,nani kasema? juzi juzi Kamanda Sirro alikuwa anajisifu kuhusu kazi nzuri aliyofanya.
 
Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.

Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.

Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!
Lini hali hii haikuwepo?

Leo hii Habari zipo wazi kwasababu ya Mh SSH karuhusu watu waandike. Msitake tuaminisha kwamba wakati wa JPM uhalifu ulikuwa haupo.
 
Hakuna ujambazi ulio ongezeka.tofauti ni kwamba miaka mitano nyuma vyombo vya habari havikuwa huru kuripoti..na sasa vipo huru .mwendazake alikuwa raisi wa hivyo kabisa
Na huu ndio ukweli.
 
Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.

Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.

Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!

Tangantika
 
Majambazi walipewa kazi ya kuteka na kuua waoinzani. Sasa hivi kitengo kimevunjwa so wamerudia tena kazi yao ya zamani
 
Back
Top Bottom