SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Sukuma Gang ndiyo wanaendesha huo uhalifu ili kumchonganisha Rais Samia na wananchi, hawa watu ni wahutu waliojivika usukuma ili kupata uungwaji mkono kwa vile Wasukuma ni kabila lenye idadi kubwa ya watu. Wahutu ni watu wa vurugu wamezoea kuuana huko kwao.Hizo ghasia na matukio ya aina hiyo ni wazi yalibaki historia kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.
Ajabu kwa muda mfupi kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu mambo hayo mabaya yameanza kurejea/kurejeshwa tena.
Sasa ni lipi tatizo ama mapungufu ya mamlaka zinazo husika hadi uharamia huo urejee kwa kasi ya ajabu namna ile?!