Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Mkuu nilidhani unazungumzia Nyumbu wa serengetiMkuu unatoa povu nchi yetu mbona Ina vision ya maendeleo unafikiria kuingia uchumi wakati wa chini ulikuwa mkurupuko wa kinyumbu?
Wapi nimetaja Rais wa Tanzania?UNa tatizo kichwani, juzi unazungumza kivingine, leo umeanza kivingine baada ya kuona unacjhotaka hakipo.
Kwa hiyo mawazo yenu ndo yatawale nchi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwanza kuna swali moja la kuuliza. Unapokuwa madarakani unaweza ukawa unakuja kwa nia njema kabisa ya kupigania haki za wananchi na sio maslahi binafsi na kulinda serikali hata kama inakosea.Sasa kama Samia ana cheap popurality sijui Magufuli alikuwa na nini? Maana yeye alimulikwa na Kamara hata akienda kumuomba Mungu wake.
Tulia mzee dawa ikuingie. Mlisema maendeleo ya Tanzania yamecheleweshwa na wapinzani sasa kuanza kijiji, kitongoji mpaka taifa ni CCM tupu.
Usiangalie idadi ya kurasa angalia utekelezaji.
Baada ya kuibiwa si mlishangilia. Au mlifanya nini kuonyesha hampendezwi na wizi?Kuiba kura ni kuchagua chama?
Tulisali na maombi yalipokelewa tare 17.3Baada ya kuibiwa si mlishangilia. Au mlifanya nini kuonyesha hampendezwi na wizi?
Haya kapalilie kaburi chatoTatizo nyie nyumbu waga mna vuka mto Mara mkiwa mmefumba macho .
Mlisherehekea Sana kwa muda mfupi utadhani mmeshika madaraka mpk mkaanza kumpangia mama afanye mnachotaka,na majuzi mkaanza kuinyea sebule yake kwamba atake asitake,hahaa pathetic kabisa.mtaendelea kudemka na kigogo 2014 tu nyuma ya keyboard na bando la Cha asubuhi.
Ila hamna mnachokisimamia kikafanikiwa.
Mama endeleakuwapigia mwingi Hawa nguchiru wa ufipa ,niwasahaulifu mno.
1. Kamati kibao....za kuchunguza hili ama like. Lkn ripoti zake ama zimetupwa au zimekaliwa.
2. Tozo ya miamala imepanda kiasi kwamba kwenye milioni 1 wanakata 31.8k
3. Watu wanalalamikia bei ya petroli, sukari, simenti na umeme kuwa juu mno kuliko nchi jirani, lkn yupo kimya.
4. Na mwisho kabisa. Hataki chokochoko.
Sasa Mimi Sexless nauliza anaupiga mwingi ama "tumepigwa"?
Sukuma gang, pole kwa maumivu. Kama maumivu yatazidi muone daktari aliye karibu nawe.Mlisherehekea Sana kwa muda mfupi utadhani mmeshika madaraka