Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

UNa tatizo kichwani, juzi unazungumza kivingine, leo umeanza kivingine baada ya kuona unacjhotaka hakipo.
Kwa hiyo mawazo yenu ndo yatawale nchi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wapi nimetaja Rais wa Tanzania?
 
Kutekelezeka kwa vision ya Rais inategemea kwa kiasi kikubwa na rasilimali zilizopo katika hiyo nchi, lakini kwa vi nchi vyetu vya kiafrika, Vision ya Rais imefichwa kwenye kitu kinaitwa Ilani ya Uchaguzi, ambayo bahati mbya sana huwa ni matakwa ya chama kilichopo madarakani au vyama shindani,

Ndio maana hapa kwetu kila baada ya miaka mitano wakati wa uchaguzi wagombea wa Urais wanazunguka kunadi kitu kinaitwa ILANI YA UCHAGUZI YA CHAMA na sio Ilani ya NCHI.

Kwa hili hata Rais awe na vision kama ya mtawala wa United Arabs Emirates aliye ibadili Dubai kutoka jengwa hadi International Business Hub..kama issue itakuwa ni kutekeleza ilani ya chama....hatufiki
 
Sasa kama Samia ana cheap popurality sijui Magufuli alikuwa na nini? Maana yeye alimulikwa na Kamara hata akienda kumuomba Mungu wake.

Tulia mzee dawa ikuingie. Mlisema maendeleo ya Tanzania yamecheleweshwa na wapinzani sasa kuanza kijiji, kitongoji mpaka taifa ni CCM tupu.

Usiangalie idadi ya kurasa angalia utekelezaji.
Kwanza kuna swali moja la kuuliza. Unapokuwa madarakani unaweza ukawa unakuja kwa nia njema kabisa ya kupigania haki za wananchi na sio maslahi binafsi na kulinda serikali hata kama inakosea.

Kwa maneno hayo sasa. Tujiulize, ni wangapi ambao wanaweza kuweka kipaumbele shida za wananchi na kuweza ku sacrifice hata uhai wake. Tunajua kupigania haki ni jambo linalohitaji ujasiri sana. Ili uwe kiongozi bora katika hili ni lazima pia usiwe mlafi wa pesa na uroho wa madaraka, pia unahitaji kua na mindset ya mwanafalsafa.

Kwa mfano tunawalaumu sana viongozi/wanasiasa juu ya uwajibikaji. Lakini ukweli mchungu kwa dunia ya sasa viongozi ni wafanyabiashara. Na siku zote mfanya biashara atafanya chochote hata kudiriki kudanganya wananchi ilimradi lengo lake litimie. Hawa huwa hawana uchungu na jamii wanazotoka, huwa ni waoga wa kupoteza mali na pesa kwa ajili ya kupambana dhidi ya matatizo ya nchi.

Kiongozi wa aina hii, huwa anahakikisha anacheza karata yake kwa umakini sana akiwa madarakani au nyazfa yoyote ya uongozi.
Sisi wananchi tunabaki kulia mara ooh mbona mbunge fulani anajua tuna matatizo fulani wilayani lakini haongei. Anaweza asiongee kwa sababu kwake ni rahisi kuishi vizuri aki defend serikali kuliko ku defend wananchi. So wanachofanya wanaaangalia sehemu yenye influence ya power. Kama kusifia raisi kutamfanya maisha yake yawe mazuri na salama atasifia sana hata kama ni ujinga.

Ndo maana tunasema kwa dunia ya sasa 2021 tuna wafanya biashara wengi sana kwenye nyazifa za uongozi kuliko wazalendo na viongozi wa kweli. Sifa kuu ya mfanyabiashara ni kufanya chochote kinachomwezesha kupata hela na usalama wa maisha yake sio ya wananchi.

Sasa solution ya hii mambo ni nn wakuu? South afrika imetuonesha ni kiasi gani kuna wafanya biashara wengi kuliko viongozi. Kuna swala la kujifunza hapa kama nchi.
 
Mwemye Roadmap atuwekee hapa mana naona kama tuna shake shake hapa na pale tunadokoa dokoa. Hakuna clear objective na vision. Mara corona takwimu nusu mara uwanja wa Taifa, mara hatuna oxygen mara sgr, mara tour ya wastaafu.
 
Leo amesema petrol imepanda kwa sababu wameongeza tozo kidogo ili barabara vijijini zijengwe, hivi hajui ukipandisha petrol unapandisha kila kitu?
 
Kwa vile watu weusi kwa miaka 75 ya ukoloni na 60 ya uhuru wa Bendea; tuko mbali sana na barabara itakayo tupa NEEMA na maoisha MEMA na MAZURI. Hii ni kwa sababu HATUJITAMBUI.
Na hata ingekuwa mimi niko Ikulu au wewe; hakuna cha ajabu tungefanya. Kwa katibu iliyondikwa na mtu, chama kisicho na dini, setekali isiyo na dini, mahakama ya kigeni n.k, tutegemee Raisat Samoa afanye Maajabu gani. Na kama atafanya maajabu, hawatamuacha. Wako wapi wakina Lumumba, Sankara, Gaddafi, Karume Baba, Nyerere, Magufuli?

Jamani, tunahitaji AKILI YA ZIADA......
 
Jamani! Suala taifa kupotezwa ni kweli. Tulishapotezwa hata kabla ya UHURU WA BENDERA.

Nyerere akaja na roadplan. Vijana tusome nje na ndani ya nchi TULETE ELIMU YA KUJENGA NCHI. Mtoto wa kwanza kuingia ikulu akawa ni Mkapa bila elimu hiyo. Bali Yeye akaja na UKWELI NA UWAZI na sio Elimu ya kujenga nchi. Mara akabadili kwa kuja na MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU ZAKE. Pia sio elimu ya kujenga nchi.

Mtoto wa pili ni KIKWETE. Naye hakufunga hili. Akaja na KASI MPYA, NGUVU MPYA NA ARI MPYA, lakini sio ELIMU YA KUJENGA NCHI.

Mtoto wa tatu ni Magufuli, yeye akaja na HAPA KAZI TU, bila kuanisha vipi tuishike Elimu yenye KUJENGA nchi. Bali alisaidiwa sana na slogani yake hii "MUNGU KUWEKWA MBELE". Ila hakuainisha na ujenzi wa nchi kwa elimu ya kuletwa.

Sasa amekuja Samia, anakuja na kauli HII -Kwa jina la JMT. Uh!

Suala la ELIMU YA KUJENGA NCHI ndio bye bye.

Intaendelezwa
 
1. Kamati kibao....za kuchunguza hili ama like. Lkn ripoti zake ama zimetupwa au zimekaliwa.
2. Tozo ya miamala imepanda kiasi kwamba kwenye milioni 1 wanakata 31.8k
3. Watu wanalalamikia bei ya petroli, sukari, simenti na umeme kuwa juu mno kuliko nchi jirani, lkn yupo kimya.
4. Na mwisho kabisa. Hataki chokochoko.

Sasa Mimi Sexless nauliza anaupiga mwingi ama "tumepigwa"?
 
Tatizo nyie nyumbu waga mna vuka mto Mara mkiwa mmefumba macho .
Mlisherehekea Sana kwa muda mfupi utadhani mmeshika madaraka mpk mkaanza kumpangia mama afanye mnachotaka,na majuzi mkaanza kuinyea sebule yake kwamba atake asitake,hahaa pathetic kabisa.mtaendelea kudemka na kigogo 2014 tu nyuma ya keyboard na bando la Cha asubuhi.
Ila hamna mnachokisimamia kikafanikiwa.
Mama endeleakuwapigia mwingi Hawa nguchiru wa ufipa ,niwasahaulifu mno.
 
Tatizo nyie nyumbu waga mna vuka mto Mara mkiwa mmefumba macho .
Mlisherehekea Sana kwa muda mfupi utadhani mmeshika madaraka mpk mkaanza kumpangia mama afanye mnachotaka,na majuzi mkaanza kuinyea sebule yake kwamba atake asitake,hahaa pathetic kabisa.mtaendelea kudemka na kigogo 2014 tu nyuma ya keyboard na bando la Cha asubuhi.
Ila hamna mnachokisimamia kikafanikiwa.
Mama endeleakuwapigia mwingi Hawa nguchiru wa ufipa ,niwasahaulifu mno.
Haya kapalilie kaburi chato
 
1. Kamati kibao....za kuchunguza hili ama like. Lkn ripoti zake ama zimetupwa au zimekaliwa.
2. Tozo ya miamala imepanda kiasi kwamba kwenye milioni 1 wanakata 31.8k
3. Watu wanalalamikia bei ya petroli, sukari, simenti na umeme kuwa juu mno kuliko nchi jirani, lkn yupo kimya.
4. Na mwisho kabisa. Hataki chokochoko.

Sasa Mimi Sexless nauliza anaupiga mwingi ama "tumepigwa"?

Mtaelewa tu mbwa nyie
 
Back
Top Bottom