Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Unanunua mafuta tozo za serikali zipo onadrive kidogo unapigwa fine 30,000 /=ukichelewa kulipa week moja inakuwa 37,000/=.

Hapo bado ujatumia simu ukiweka pesa uongee wameshukua chao, ukituma pesa wanachukuwa ukipokea wanachukua

Ukijumlisha peas zote hizo ni nyingi sana
 
Acheni Upuuzi mnataka Maendeleo ya haraka muwe kama Marekani na Uingereza halafu kutoa Tozo na Kodi hamtaki.

Tena naomba Kodi ziwe nyingi tu kwa Tanzania na Watanzania ili Akili zitukae sawa sawa katika Kulijenga Taifa letu hili zuri.
 
Acheni Upuuzi mnataka Maendeleo ya haraka muwe kama Marekani na Uingereza halafu kutoa Tozo na Kodi hamtaki.

Tena naomba Kodi ziwe nyingi tu kwa Tanzania na Watanzania ili Akili zitukae sawa sawa katika Kulijenga Taifa letu hili zuri.
Sawa mzee wa tozo
 
Tukipata radio call inaweza saidia
 
Ameingizwa kingi sana. It's either uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana au kuna watu anaowaamini sana lakini wanamharibia makusudi. Kwa jinsi alivyoungwa mkono siku chache za mwanzo alitakiwa ashikilie hapohapo. Aliungwa mkono na wasomi wote, viongozi wote wa dini, wananchi wa kawaida, wafanyabiashara, wawekezaji, nchi wahisani, vyama vyote vya siasa bila kujali itikadi zao, vyombo vya habari, wanaharakati etc.

Alitakiwa ashikilie hapohapo ili aendelee kuungwa mkono zaidi and im sure 2025 kazi yake ingekua rahisi sana. Lakini "wajuba" wakamsoma halafu wakamuingiza kingi, nae bila kutafakari akaingia kichwakichwa. Sasa kajiharibia kote. Hakuna anayemuelewa kwa sasa. Sio viongozi wa dini, sio wanahabari, sio wafanyaniashara, sio wananchi wa kawaida wanaolipa tozo, sio wawekezaji. Kila mmoja anamuona hopeless tu.

Hata akiongea kitu saivi hakipewi uzito tena. Wanampuuza ndani na nje ya chama chake. Bora aongee Manara habari yake itapewa kipaumbele sio ya Jumong. Umaarufu wake umeshuka sana. Zile siku chache za mwanzo ukisikia sauti yake tu unaacha kila kitu kumsikiliza, lakini kwa sasa hakuna mwenye muda wa kumsikiliza. Jana mzee mmoja kamuona kwenye TV akasema "Badilisha chanel,weka hata ya Somalia" 🤣🤣

Mbaya zaidi hata waliomuingiza kingi nao wamemgeuka. Angalia huko ndani ya chama chake, kila siku wanatoa matamko ya kuwatishia wanachama wenzao wanaomkosoa Jumong. Kwa kifupi haeleweki ndani ya chama chake, wala nje ya chama. Amevurugwa akavurugika. Poor her. Sijui kama 2025 atatoboa. Ama kweli mafanikio yana baba wengi, lakini matatizo ni mtoto yatima.!

Credit: Malisa

Nami naungana na wasomi. Nimemsikiliza akihojiwa BBC anajibu maswali juu juu sana. Kama mwenyekiti wa chama wanachama wamemzidi ujanja. Gwajima anatomasa kiti, Polepole anapapasa mgongo wa kiti.
 
Ninasikitika sana kuwawekea tena mfumo dume wanawake kiuongozi.
Alikuwa na nafasi kubwa sana kuwasafishia njia wenzake.
 
Mdogo mdogo ndo anatoboa hivyo...sisi huku tunakaa kusema wasomi wana wasiwasi nae, tukija kushtuka anamaliza muda wake 2030.
 
Hana uwezo kabisa..
Uwezo wake wa kufikiri upo below average..
Yupo vizuri tu kwenye kurembua macho..
Hopeless kabisa .
 
Tunao uzoefu wa kutosha kutokea awamu ile ambapo ghafla udikteta ulifanywa kuwa ni sehemu ya utawala halali hapa nchini. Kuwapa watu dhamana za kutuongoza hakuna maana ya kuwapa nafasi ya kututawala.

Mtu kutaka kututawala kwa kudhani kuwa anatumiliki sisi na nchi ni kama mali zake binafsi hakukubaliki.

Hii nchi ni yetu sote na ni lazima iongozwe kwa mujibu wa katiba na si vinginevyo.

Leo ni kwa Mbowe na wanaoshikiliwa kinyume cha sheria, kesho inaweza kuwa kwa yeyote.

Pamoja na yote, pana haja ya kuongeza nguvu zaidi na kupanua wigo ili kumwonyesha yeye na wote tunaoweza kuwafikia kuwa mwelekeo anaochukua hauna baraka na nani.

Alisema George Bush - "you are either with us ..."

Awaye yote hawezi kuwa katikati.

Kuwaona wote wanao hesabika na hata wasio hesabika hakuwezi kudunishwa. Vyama vya siasa, asasi za kiraia, taasisi za dini, wananchi, wazee wenye heshima zao nchini na nje ya nchi, balozi za mataifa mbali mbali, nchi mbali mbali, wakuu wa nchi mbali mbali nk ni mwendelezo wa hatua hizo halali.



Kumfahamisha mheshimiwa huyu na wote kuwa anakwenda fyongo ni sehemu ya majukumu yetu halali kikatiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…