Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Issue za watu kubambikiwa kesi zinaendelea kwa kasi, wapinzani wanatishwa na kunyanyaswa, mbaya zaidi awamu hii wananchi wa kawaida hatusikilizwi kabisaa bora mara 10 enzi za mwendazake.

Si mmesikia yule raia mzalendo aliyefungua kesi mahakamani kupinga tozo za miamala ya simu kaitwa uhamiaji kuchunguzwa uraia wake? Kama si udikteta ni nini?

Alafu kuna watu watakuambia eti mama anaupiga mwingiiii. Ndio maana mfumo wa elimu wa nchi hii umevurugwa maksudi ili wajinga wawe wengi.

Alianza vizuri na sasa mfumo umemkumbatia.

Twendeni tukapatiwe chanjo nasikia kuna mzigo wa kutosha.
 
Tofauti ya mama na hayati mxee Magu ni kwamba mama anaupiga mwingi sana.

Naomba mama aendelee kuupiga mwingi.
 
Bongo nchi ya mazezeta, kila awamu kiongozi huiburuza nchi anavyojisikia na huwa hakosi mazezeta ya kumsifia.
Anazidi kuupiga mwingi[emoji112][emoji112]
 
Tofauti yao ni kuwa JPM aliwatetea sana wanyonge na alipigania masilahi ya nchi. Pia JPM alikuwa anasikiliza kero za wananchi na zilizowaumiza alizibadili, mfano mzuri ni suala la kikokotoo.
 
Huyu bibi ni hatari sn
 
 

Attachments

  • VID-20210813-WA0003.mp4
    17 MB
Haeleweki na sidhani hata kama yupo mwenye akili anamwelewa huyo mwanamke.

Kwa jicho la wazi kabisa Samia ni Rais wa bahati mbaya na hana huo uwezo wa kuongoza kama Amri Jeshi Mkuu wa Nchi yetu-hastahili.

Huwezi ukawa kiongozi wa kuelekezwa hasa na mustaafu fulani eti kipi ufanye ama lipi usifanye.

Rais wa Nchi ni mtu anayetakiwa awe mwamba na mtu anayejiamini mwenye uwezo wa kuamini na kuamuru hili ni hili na lile ni lile tena kwa sauti na mamlaka iliyonyooka.

Huyo mama yenu tumepigwa hasa sisi wana CCM.

Hata hao wasaidizi wake kwenye chama yote ni kama mboga tena mlenda kuanzia Katibu mkuu wa chama na wasaidizi wake.

Hovyo kabisa!
 
Sasa alikuwa makamu wa Rais wa aina gani? mngefanya mambo huko huko chamani...
 
Reactions: Qwy
Jk mnamsingizia hawezi kumshauri hayo...wewe sema mama haba uwezo hata wa kuongoza familia yake ndio mana anashauriwa na mkwe wake.
Pili hii nafasi na ile ya makamu wa rais alipata kwa bahati tu
 
Kwahiyo unasema Mama bado anakaimu Urais

Mbona nilimuona akiapishwa kuwa Rais

Mama aachwe atuvushe, Mataga rudini Vijijini mkarogane.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa mkuu!

Mama anatuvushaaaa
 
Kabisaaaaaa

Tuko vizuriiiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…