Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Majority of Tanzanians are not only tired but they are ignorant.

The leadership led by CCM, government and Mafisadi na wapiga dili are all exploiting that with great speed now before 2025.

Ni kama vile yule character wa comic aitwae Mongul ambae kuna siku alikuja kumshambulia Superman ambae alikuwa alisherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Superman alipoishiwa nguvu Mongul akamchoma sindano yaitwa Black Mercy yenye sumu inayokukula kidogokidogo huku ikikudhoovisha nguvu zako.

Hivyo superman akawa hana nguvu za kupigana na Mongul akapata nafasi ya kujitengenezea dunia aitakayo yeye.

Hali hiyo ndiyo ilowakumba watanzania kwa sasa wanadungwa sindano za tozo za mialamala na zingine kama za mitandao zaja.

Sanasana twaishia kupiga kelele na kuandika kwa kasi kwenye keyboard kisha yanasomwa na maisha yanaendelea.

Nguvu za kuhimili sindano zimeisha.
 
Huo upigaji si uliwahi kufanywa kwenye ile ghorofa ya nne na J Pinto akapiga pesa ndefu sana?

Tena walikwenda huko Ukerewe kama sikosei.

Hizi tour si ni idea tu kutoka kwa wapigaji?

Au umesahau?
 
Kwahiyo anatoa pesa zako kugharamia?
Ha ha ha ha ha
Hii nchi bhana, wanajua kula keki ya taifa halafu hao hao wanakuambia kijana mjiajiri
Nani kakwambia Royal Tour inagharamiwa kwa pesa za serikali?
 
Nchi yenye Ugaidi!, tena ulioatamiwa na chama tawala, subutu! #gaidiHamza ccm
 
Kwanza tujue ana umaarufu na mvuto wa kiasi gani kidunia, kitaifa na kimataifa.?

Na je umaarufu huo ulikuwepo na je utaendelea kuwepo mathalani akifa leo au akimaliza muda wa urais?

Au hiyo film ni temporary.? Au ukosefu wa kazi za msingi ikiwemo ubunifu na ufuatiliaji wa miradi ya kitaifa.?

Au ndio mama keshaanza kujichokea na kuamua kujipa bata kwa staili hiyo.?

Hivi lile tangazo alilozindua JK wakati anamaliza muda wake lililotengenezwa kwa mabilioni ya shilingi liliishia wapi? Nakumbuka alikuwa anaisifia malaysia na tangazo lao la trully malaysia wakati wa uzinduzi.
 
Huo upigaji si uliwahi kufanywa kwenye ile ghorofa ya nne na J Pinto akapiga pesa ndefu sana?

Tena walikwenda huko Ukerewe kama sikosei.

Hizi tour si ni idea tu kutoka kwa wapigaji?

Au umesahau?
Inaweza kuwa
 
Huyu na yule muuza sura aliyekuwa anapenda kuzindua kila kitu hadi vyoo vya stendi bora nani? Kama huna cha kuandika baki na mavi yako.
 
Barozi ni mtu asiefaa Kwa Nafasi au uaminifu ndyo maana hutupwa barozi nchi frani Kwa Tz lakini ,ukibahitika kufahamu maana ya maneno ,security intelingence au security services haya NI maneno 2 tofauti yenye maana tofauti .UKWELI NI KWABA TUPO KATIKA WAKATI MGUMU SANA TENA SANA .KILA MMOJA KWA IMANI YAKE TUSALI SANA
 
Sasa mzee wewe unaitwa mew covid unataka wewe ndiyo uzurure kama nani?tuliza nyege mzee huyo ni Rais huwezi kishindana nae sana sana utabeneshwa mimba tu,ukiona inauma acha kulipa kodi kama mimi,teh!!
 
Heee..huo ndo ubunifu shekhe! Uwiii...kachokaaaaa...to hell
Naona mkiappreciate visit rwanda nyuma ya flana ya messi sijui mnadhani ni bilion ngapi zimetosha kufanya hivyo lakini impact yake ikoje
Mama huwenda asitumie kiasi hicho lakini kukawa na impact kubwa zaidi kwa kuwa wataiona Tanzania kwa jicho lingine wasilolifahamu

Naamini aliyetoa hili wazo la mama kutangaza utalii ni genius


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Una uhakika kuwa hiyo royal tour dunia inaiamgalia?
Unajua rais wa nchi anafuatiliwa kiasi gani
Ukitafuta mambo yanayohusu Tanzania mtandaoni lazima habari za rais zitokee pale hapo ndani unaikuta royal tour ni idea kubwa sana na hii ni yakwetu siyo kuigaiga

Tatizo letu watanzania tunakubali vya wenzetu vyetu hatuvipendi ingefanywa jirani hii ungeona ambavyo mngejitoa akili
Na kuwaona hao ndiyo wenye akili




Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Elezea utofauti na undani kidogo
 
Mimi nimegundua nchi haitangazwi kwa staili hiyo ya kutumia mapesa na kujipromote bali inatangazwa kwa uongozi bora na wenye misimamo kama alivyofanya Magufuli.
Hili nilikuja kuligundua baada ya kusafiri nchi za mbali nikikutana na Wazungu pamoja na Waasia wakiniuliza "Which country are coming from?nikiwajibu I am from Tanzania utawasikia"Wow Tanzania you had a very good president(Magufuli) and it is the only country in the world that enabled to combat Covid 19 without lockdown and disagreed the order from America to use vaccine,but they assasinated him by the way you lost a very genius president"
So kiufupi nchi yetu imekuwa maarufu sana kupitia matendo ya Magufuli na sio kujitangaza kwa kupiga makelele ni kazi bure.
 
Hapo kwenye hayo mawili unahitaji kupaelezea kidogo ongezea nyama mkuu.

Hayo maneno mawili ndo hutumiwa uzuri na mataifa yenye viongozi welevu.

Katika Afrika Rwanda amefanikiwa kwa hilo na ataendelea kupaa kiuchumi.

Watanzania tumeambiwa tuna kila kitu ila kutumia akili za ziada kwenye hayo mambo mawili ndo kumetushinda.
 
Inashangaza Sana. Mtu alikua jirani na magufuli wakati wote anaitisha vikao mbali mbali ikulu kuzungumzia jinsi nchi inapigwa na wala rushwa na wawekezaji wanavyokwepa Kodi miaka na miaka toka tupate Uhuru [emoji31][emoji31][emoji31].... Chakushangaza zaidi anaingia ikulu yale yale aliyokuwa anapigia kelele mwenzake yeye ndio ameyaachia yaendelee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Hivi kama si Ajabu kubwa zaidi duniani unadhani ni nini???
 
Reactions: nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…