myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Sio kweli....Mkuu upo sahihi sana,ndio maana nasema Mama hana uwezo wowote kiuongozi hana maono,hana misimamo ,ni mtu wa kuangalia upepo unaendaje kwenye mitandao, na kwa style yake hii anaenda kufeli vibaya!!
MATAGA wafa kifo cha MENDEMama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Huna akil wwMama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Sasa yeye na meko nani alipenda cheap popularity?,meko kila anachofanya alitaka kijulikane hata kama hakina tijaMimi namshangaa sana Mama.....cheap popularity itammaliza
Acha nikushauri tu kama upo Dar ( ingawa Kwa akili zako najua hata Dar utakuwa hujawai kufika) basi nikushauri nenda Dar alafu panda gari ya Gongo la mboto kutokea Posta.Aliekwambia uchumi unajengwa kwa watu kuajiriwa? Nitajie nchi ambayo wananchi wake wote wana ajira unasema ameua sector binafsi leta mifano si kusema tu .Nitajie sector binafsi ambayo inafanya shuguli zake Tanzania imekimbia waliokimbia ni wakwepa kodi na makampuni ya kitapeli lakini kama ulikuwa unafanya shuguli zako vzr huwezi kuondoka kwani sheria ni zile zile
Mbona hatukuona makampuni ya madini yakikimbia tena yenyewe ndo yalikuwa yanatuibia kwelikweli .Mbona hatujaona sigara,makampuni ya simu ,makampuni ya vinywaji yakikimbia acheni mambo yenu bhana rudini mmeambiwa rudini milango ipo wazi njoeni mwenye shamba hayupo .
CCM huwa haihitaji kura zenu kupata ushindi.Ndio tunachotaka atekeleze miradi tutampa kura tofauti na hapo tutamfurusha yeye na CCM yake
Wewe ni msukuma?Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Toka lini kura yako na mjomba wako ikawa na nguvu? Acha kujidanganya, pia mwache mama afanye usafi, Nchi ilichafuka sana, kama kubambikia kodi na kuingilia akaunti za wafanyabiashara we unaona poa, sisi hatukubaliani na unyang'anyi huo, bora mapato yapungue kuliko dhuluma kwenye kodi!Ndio tunachotaka atekeleze miradi tutampa kura tofauti na hapo tutamfurusha yeye na CCM yake
🤣🤣🤣Tena chaaap kwa harakaMataga Kama humkubaliani na sera za mama hameni nchi
Sio kweli huyu mama yupo wazi na anataka aitoe ile hofu iliojengwa hata ukiangalia nyuso za watu kwa sku chache zina furaha...na mm nimemuona anapenda sifa aka kiki kama hayati