Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anataka pia kukopa hela kwa ajili ya kuwajengea mazingira mazuri ya biashara Machinga.
 
Lipa kodi acha uvivu

Samia ndo Rais wako hadi 2030 utake usitake
 
Ukisema Samia kashindwa kufanya hayo, basi pale alipoweza watu waseme Samia kafanya, mfano wale wanaodai Samia katoa pesa kiasi fulani kwa ajili ya ujenzi wa kitu fulani, jambo ambalo kwangu sio sawa.
 
Nimesikitika Sana Leo kusikia anasema tunawahitaji Sana wawekezaji kuliko wanavyotuhitaji.

Yaani anashindwa kuelewa tu kuwa uwekezaji ni biashara.Huwezi kusema mwenye duka ni wa muhimu kuliko wateja ndo maana watu husema mteja ni mfalme.

Sisi tuna dhahabu,ardhi,nk wao wana pesa,hapa ni kubadilishana tu.
Kwanini ashobokee wawekezaji namuna hii? Lah!.
 
Nchi ina tatizo kubwa la Ajira, hao wawekezaji watapunguza hili tatizo angalau kwa 25% jaribu kufikiria kama kiwanda cha Dangote kisingewepo, serikali inakusanya WHT, Stamp Duty, PAYE, SDL nk mabilioni ya Tsh. Wakati mwingine mnapojadili kitu mshirikishe kichwa na sio MATAKO.
 
Nauli mpya[emoji35]
 
Alaa kumbe hayo uliyoorodhesha ndio kushindwa? [emoji16][emoji16] Pole Sana kajipange upya ,Samia yuko hapa hadi 2035
 
Ukweli huu ukiongea Basi wanamfikishia huko magogoni kia ni Sukuma gang hao,Japo wengi wao wala hawahusiki na kabila hilo.

Ila Sasa wengi wanakubali kuitwa Sukuma gang maana imeanza kuonekana wasema kweli na kukosoa KWA Sasa ndo hao wanaoitwa Sukuma gang.

WAZEE WA MAMA ANAUPIGA MWINGI WAJITOKEZE SASA KUMSAIDIA
 
Kwa kuboronga huku mtetezi lzm Ana remote mkononi.
 
Angetuundia tume yakuchunguza kifo cha magufuli kidogo sisi sukuma geng tungemuuelewa,hiii kupita hivi kimya kimya na anashuhudia magufuli akinangwa na wapumbavu wachache na hasemi chochote tunaumia sana.tunamuona naye ni walewale
 
Umesema angeanzisha mchakato wa kupata katiba mpya nani angekasirika?

Ina maana hujui suala la katiba mpya limekuwa ni wimbo wa muda mrefu na ni sumu kali kwani wanaccm hawataki kuisikia maana inaenda kuua maslahi yao kuendelea kutawala! Katiba iliyopo tu haifuatwi licha ya ubovu wake mkubwa.

Mwalimu 1982 aliona kwa katiba hii akipatikana kiongozi mwenye kutumia mwanya wa "madaraka yaliyopitiliza" atajigeuza mungu na kweli miaka 6 imepita nchi ilikua mateka wa mtu mmoja!

Watanzania hawajifunzi especially CCM tusubiri mwingine aje ajimwambafai tena ndio akili zitakuja labda
 
Wakuu salaam,

Rais samia unashangaza sana, unaukana ufisadi katika utawala wako akati hilo kundi la washirika wako wakuu ni mafisadi papa, unaukana ufisadi ktk utawala wako akati washauri wako wakuu ni hao hao mafisadi papa, unaukana ufisadi kakati utawala wako akati mafisadi ni sehemu ya teuzi zako, hii dhana ya ufisadi huwezi kuiepuka ktk utawala wako madamu umejifungamanisha na mafisadi katika utawala wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…