kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Magufuli ndo nan kwaniLaana ya Magufuli itakuandama sana nenda Chato ukatubu fasta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli ndo nan kwaniLaana ya Magufuli itakuandama sana nenda Chato ukatubu fasta.
Anataka pia kukopa hela kwa ajili ya kuwajengea mazingira mazuri ya biashara Machinga.Huyu bibi ashafeli mapema miezi 8 tu toka awe rais keshaharibu kila kitu
Watu wanaanzaga vizuri huyu miezi 8 mambo yashakua hivi
1.Makato
2.Matozo
3.Kubomolea vibanda machinga bila utaratibu
4.Migao ya umeme
5.Migao ya maji.
6.Ufisadi serikalini
7.Tozo za mafuta.
8.Tozo za mabenk
9.Kodi ya jengo kukatwa kwenya luku
10.Mfumuko wa bei
11.Mafuta kupanda ya petrol na dizeli
12.Mikataba isiyoeleweka.
13.Urasimu kurudi serikalini
14.Vifurushi vya simu kupanda bei
15.Kusimama kwa miradi mikubwa kama nyerere
16.Kufeli na kuanza kutoendelea kwa miradi ya umma.
17.Uzembe serikalini nidhamu ya utendaji imeshuka.
18.Nchi kupoteza mwelekeo.
19.Safari za nje zisizo na tija
20.Matumizi ya mabilioni na mamikopo yasiyokua na tija kwa taifa
Kwa haya Huyu bibi ashafeli, tungekua watz wote tumeelimika na kuelewa haya huyu bibi 2025 tusingempa kura!Imagine ndo miezi 8 tu sasa hivi jee miaka 10 itakuaje?tutaangamia....Yaani huyu bibi na mwendazake hakuna cha maana walilofanya mwendazake aliharibu nchi kwa style yake na huyu nae anakuja na style yake ya kuharibu nchi
Lipa kodi acha uvivuHuyu bibi ashafeli mapema miezi 8 tu toka awe rais keshaharibu kila kitu

Nchi ina tatizo kubwa la Ajira, hao wawekezaji watapunguza hili tatizo angalau kwa 25% jaribu kufikiria kama kiwanda cha Dangote kisingewepo, serikali inakusanya WHT, Stamp Duty, PAYE, SDL nk mabilioni ya Tsh. Wakati mwingine mnapojadili kitu mshirikishe kichwa na sio MATAKO.Nimesikitika Sana Leo kusikia anasema tunawahitaji Sana wawekezaji kuliko wanavyotuhitaji.
Yaani anashindwa kuelewa tu kuwa uwekezaji ni biashara.Huwezi kusema mwenye duka ni wa muhimu kuliko wateja ndo maana watu husema mteja ni mfalme.
Sisi tuna dhahabu,ardhi,nk wao wana pesa,hapa ni kubadilishana tu.
Kwanini ashobokee wawekezaji namuna hii? Lah!.
Nauli mpya[emoji35]Huyu bibi ashafeli mapema miezi 8 tu toka awe rais keshaharibu kila kitu
Watu wanaanzaga vizuri huyu miezi 8 mambo yashakua hivi
1.Makato
2.Matozo
3.Kubomolea vibanda machinga bila utaratibu
4.Migao ya umeme
5.Migao ya maji.
6.Ufisadi serikalini
7.Tozo za mafuta.
8.Tozo za mabenk
9.Kodi ya jengo kukatwa kwenya luku
10.Mfumuko wa bei
11.Mafuta kupanda ya petrol na dizeli
12.Mikataba isiyoeleweka.
13.Urasimu kurudi serikalini
14.Vifurushi vya simu kupanda bei
15.Kusimama kwa miradi mikubwa kama nyerere
16.Kufeli na kuanza kutoendelea kwa miradi ya umma.
17.Uzembe serikalini nidhamu ya utendaji imeshuka.
18.Nchi kupoteza mwelekeo.
19.Safari za nje zisizo na tija
20.Matumizi ya mabilioni na mamikopo yasiyokua na tija kwa taifa
Kwa haya Huyu bibi ashafeli, tungekua watz wote tumeelimika na kuelewa haya huyu bibi 2025 tusingempa kura!Imagine ndo miezi 8 tu sasa hivi jee miaka 10 itakuaje?tutaangamia....Yaani huyu bibi na mwendazake hakuna cha maana walilofanya mwendazake aliharibu nchi kwa style yake na huyu nae anakuja na style yake ya kuharibu nchi
Alaa kumbe hayo uliyoorodhesha ndio kushindwa? [emoji16][emoji16] Pole Sana kajipange upya ,Samia yuko hapa hadi 2035Huyu bibi ashafeli mapema miezi 8 tu toka awe rais keshaharibu kila kitu
Watu wanaanzaga vizuri huyu miezi 8 mambo yashakua hivi
1.Makato
2.Matozo
3.Kubomolea vibanda machinga bila utaratibu
4.Migao ya umeme
5.Migao ya maji.
6.Ufisadi serikalini
7.Tozo za mafuta.
8.Tozo za mabenk
9.Kodi ya jengo kukatwa kwenya luku
10.Mfumuko wa bei
11.Mafuta kupanda ya petrol na dizeli
12.Mikataba isiyoeleweka.
13.Urasimu kurudi serikalini
14.Vifurushi vya simu kupanda bei
15.Kusimama kwa miradi mikubwa kama nyerere
16.Kufeli na kuanza kutoendelea kwa miradi ya umma.
17.Uzembe serikalini nidhamu ya utendaji imeshuka.
18.Nchi kupoteza mwelekeo.
19.Safari za nje zisizo na tija
20.Matumizi ya mabilioni na mamikopo yasiyokua na tija kwa taifa
Kwa haya Huyu bibi ashafeli, tungekua watz wote tumeelimika na kuelewa haya huyu bibi 2025 tusingempa kura!Imagine ndo miezi 8 tu sasa hivi jee miaka 10 itakuaje?tutaangamia....Yaani huyu bibi na mwendazake hakuna cha maana walilofanya mwendazake aliharibu nchi kwa style yake na huyu nae anakuja na style yake ya kuharibu nchi
Ukweli huu ukiongea Basi wanamfikishia huko magogoni kia ni Sukuma gang hao,Japo wengi wao wala hawahusiki na kabila hilo.1. Makosa ya msingi kwenye teuzi zake.
Kachagua Waziri wa nishati ambaye ndo mtu wa kwanza kupinga ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme JNHP kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira.
Yani mtu aliyepinga mradi husika ndo unampa ausimamie, huoni kuwa umejichanganya mwenyewe??
Mtu mwenyewe hana utaalamu wa sehemu hiyo, matokeo yake ushayaona kwani ndani ya muda mfupi toka umpe wizara tayari drama zishakuwa nyingi ikiwemo umeme kukatika, kudanganya upungu wa maji, nk..
Huyu usipombadilisha au hata kumtumbua , badae usilaumu au kusingizia watu.
2. CCM Imerudi kwa wenyewe.
Kwenye mkutano wako wa kwanza wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM ulitamka hadharani kauli hiyo.
Watu wakajiuliza;
1. Hao wenyewe ni akina nani?
2. Hao ambao sio wenyewe (wavamizi) ni akina nani?
3. Chama si kinakuwa na utaratibu wa kupokea na kupoteza( wanaohama) wanachama?
Kama utaratibu sivyo hivyo basi utaratibu halisi ukoje?
Kumbe kuwa na kadi ya chama haitoshi?
Hii kauli yako ililete maswali tata , iliwatishia (hasa) wanachama wapya na haikuwa na afya ktk kuleta umoja na mshikamano wa chama.
3. Kujitahidi kufufua yote yaliyokataliwa na Magufuli wakati wewe mwenyewe ulikuwa msaidizi wake...
Hapa tukasikia kuwa madini hatuyali, tuwape tu wanaotaka, ...
Bandari ya Bagamoyo project ikawa activated, Makinikia yakaanza kusafirishwa, msimamo wa serikali kuhusu Corona ukabadilika, safari za nje zikawa nyingi, machinga wakafukuzwa, Tozo, hawasikii tena kukemewa kwa mafisadi, kumtegemea Mungu hakusikiki sana ....nk
4. Kulalamika na kuwaangushia zigo wengine.
Kati ya vitu sikukubaliana navyo wakati wa JPM ni kulaumu awamu ya nne kila mara.
Mama nadhani ungejikita ktk kutatua kuliko kulaumu waliopita.
Hata Jpm moja kati ya mapungufu yake lilikuwa ni hili.
Upo kwa ajili ya kutatua na si kulaumu.
Haya yote yanawafanya watu wasikuamini, wanahisi kila kitu unaamuliwa na huamui wewe, wanahisi unataka kujitenga na kipenzi chao JPM wakati huohuo wanahisi tunakoelekea siko
Mama, hakuna anayekuhujumu. Yaangalie haya mambo kwa umakini.
Kufanya mambo yako sio sababu ya kupinga kila kilicho cha Magufuli.
Kwamfano, ungeanzisha mchakato wa katiba mpya unadhani nani angekasirika?
Tuseme Mbowe ana tuhuma hizo, lakini kwanini timing ya kumkamata iwe kipindi akidai katiba mpya ambayo ni hitaji la wananchi?
JK alijiharibia hivi hivi japo alimaliza.
Uwe na utendaji mwema.
Nb; Kuna vitu mama anafanya vizuri ila anayokosea ni ya msingi zaidi.
Kwa kuboronga huku mtetezi lzm Ana remote mkononi.Ukweli huu ukiongea Basi wanamfikishia huko magogoni kia ni Sukuma gang hao,Japo wengi wao wala hawahusiki na kabila hilo.
Ila Sasa wengi wanakubali kuitwa Sukuma gang maana imeanza kuonekana wasema kweli na kukosoa KWA Sasa ndo hao wanaoitwa Sukuma gang.
WAZEE WA MAMA ANAUPIGA MWINGI WAJITOKEZE SASA KUMSAIDIA