Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Awamu zote za marais dizaini ya mama nchi huwa inayumba kwanza, ajae atarekebisha. Baba wa taifa alijenga misingi, akaja mzee ruksa akaivuruga hadi kuhonga mbuni wa ikulu. Mkapa akaijenga misingi upya na kuweka pato la taifa angalau. Kijana wa msoga akakomba mboga zote, tukabaki na ugali dona kavu. Magu kajaribu kurekebisha kwa nguvu, njia ikaanza kuonekana. Mama hajamaliza hata mwezi, mwelekeo umeanza kupotea.

Twende tutakakopelekwa.
 
Nyie mmeshakuwa affected kisaikolojia(psychology) mmezoea kugombezwa na kutushiwa. Huku kubembelezwa hamkuwezi na ndio democrasia hii
 
Mwache mama afanye kazi, nyie watu wa mwenda zake mna visirani kama yeye alivyokua
 
Hili la kupata wapinzani ndani ya CCM linafikirisha, natumai na kina ndugai na msukuma wako katika underground movement ' tumerudi kwenye siasa tulioizoea
 
Mara paap mh raisi imekuwa huyu mama !!?? Nonsense sukuma cartel .lumumba jobless corner
 
Anataka kutupeleka uchumi wa juu kutoka uchumi wa kati chini
 
Naomba na mimi niandike kidogo ...nakiona kivuli cha JK kwenye utawala huu ..... sasa naanza kuelewa hofu ya akina Bashiru kama mitandaoni walivyosema ..... tunaenda kwenye hatari asipobadilika ( mbaya zaidi anaonekana ni mfuasi wa JK).
 
Dah....Mama ameanza vibaya kiukweli...amekuwa na haraka sana...na taarabu nyingi....angekuwa hakuwepo kwenye utawala wa JPM ningemuelewa...
Nikionacho mbele....ni rushwa kurudi kwa kishindo kati ya wafanyabiashara na TRA....Kupungua kwa makusanyo ya Kodi....Serikali kuyumba kwenye misimamo.....taarabu nyingi....mwishowe turudi utumwani Misri...[emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio tunachotaka atekeleze miradi tutampa kura tofauti na hapo tutamfurusha yeye na CCM yake
Vijana nyie wa kizazi hiki? eti tutamfursha na ccm yake? mna hizo guts?
wabongo jinsi walivyo waoga wakitishiwa tu kidogo na polisi wanajifungia ndani.
Hamna lolote hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…