Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
japokuwa si mwanasiasa ila naona unajitahidi sana kuhamisha mada. ila nikwambie tu umefeli. njoo na trick nyingineVipi umehama toka Saccos ya Chadema umerudi CCM sasa mkuu? Karibu sana kwenye Chama Dume!!
naona umeandika nothing but mipasho. oh mama amefeli, sifa nyingi,ujuaji mwingi.Mama amefeli hamna kitu hapo sifa nyingi ujuaji mwingi nchi itamshinda watanzania wanapenda mtu wa Kariba yake ili wafanye yao nchi itapigwa Kama kipindi Cha jk tutajuta kwakweli.
Umpe Nani wee boya tu nyie ndo mlikuwa kwenye zile task force haramu za dhuluma za kupora wafanyabiashara pesaNdio tunachotaka atekeleze miradi tutampa kura tofauti na hapo tutamfurusha yeye na CCM yake
Lazima awe na priority,sasa kama miradi sijui airport ya chato sisi kama Taifa itatusaidia mini,lazima aangalie ipi ya manufaa na ipi haina manufaa,So kwa akili yako miradi ya chato nayo ataendeleza? Hata daraja la busisi tunapiga chini kwanza
dr.magufuli aliwekeza kwa watanzania wanaonyonywa na mabeberu na mawakala wao kwa miaka mingi. mama naona anaanza kuwekeza kwa wanyonyaji na mawakala wao. hafai.Sasa kama samia ana cheap popurality sijui magufuli alikuwa na nn? Mana yeye alimulikwa na Kamara hata akienda kumuomba mungu wake.
Tulia mzee dawa ikuingie. Mlisema maendleo ya Tanzania yamecheleweshwa na wapinzani sasa kuanza kijiji, kitongoji mpaka taifa ni ccm tupu.
Usiangalie idadi ya kurasa angalia utekelezaji
Ukitaka kujua hamna kitu hapo umemsikia hata kidogo akizungumzia rushwa?huyo mama baadae hata nyinyi mtamgeuka sababu kubwa upeo wake ni mdogo sana kwenye maamuzi pili ni mtu wa kutaka kumfurahisha kila mtu Yani mama huruma tatu nchi hii inamadudu mengi hatuwez kufika kwa kuchekeana na kubembelezana hatuitaji maneno mengi tunahitaj kazi na manedeleonaona umeandika nothing but mipasho. oh mama amefeli, sifa nyingi,ujuaji mwingi.
Hizi hazikuwa sifa za JPM?
naona mmekuja kwa force kujaribu kumchafua. hata mwezi hana kwenye hiyo nafasi.
muache ramli za kiganga. tunajenga nchi moja.. si kikundi cha watu
Bora hizo enzi kuliko za lile lidubwana lenu.Huyu anaenda kuturudiaha enzi za upigaji, uvivu, rushwa, ufisadi , ujambazi na ule msemo wa UNANIJUA MIMI
Mfufueni mungu wenu.Naomba na mimi niandike kidogo ...nakiona kivuli cha JK kwenye utawala huu ..... sasa naanza kuelewa hofu ya akina Bashiru kama mitandaoni walivyosema ..... tunaenda kwenye hatari asipobadilika ( mbaya zaidi anaonekana ni mfuasi wa JK).
una roho mbaya sana kama mwendazake. na siku hizi wenye roho mbaya wanakufa tu. wasukuma bana!Mama hawezi kamilisha hio miradi, kaanza na gia mbaya ya kufurahisha watu badala ya kuonyesha ni mtu wa kufanya maamuzi magumu. Kama hiyo miradi itakamilika itakamilika michache na kwa kusuasua sana na ni ile mbayo wafadhili wanaisapoti, mambo ya stiglers gorge ambayo yalipingwa sana na wahisani atasua sua sana kuimaliza. Sababu ya kusuasua kuimaliza ni kukosa hela ya kuifanya hiyo miradi, pesa nyingi inaenda kutoka sababu wajanja wengi wanarudi kwa mgongo wa rais kakaribisha wawekezaji, pia kudai pesa iwekwe mifukomi kwa watu, ili ufike mahali fulani ni lazima ujibane bane. Ndio hatua ambayo tulikua nayo kwa JPM, ilikua hatua ya mpito.
Yaani hata mwezi haujapita keshaanza kupigiwa simu na wawekezaji ikulu. Picha mbaya wanaenda muweka kiganjani mwao.
siku mtakapo elewa kwamba magu ameshakufa sasa ni utawala mwingine hamtapata taabuMama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Toa upumbavu wako hapa. Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ni mcha Mungu. Kamwe hawezi kuendeleza wizi,ushetani,uchawi,mauaji na ubakwaji mkubwa wa demokrasia.Uzuri anaendeleza alichokiacha Mwendazake tunashukuru Mungu kwa hilo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Teh teh tehWewe ni msukuma?
Tuanzie hapo kwanza
Unaruhusiwa kuota.Kila nchi Duniani inalinda ajira za wananchi wake dhidi ya mashirika na kampuni za kigeni leo Tanzania mnaitagazia Dunia kuwa mnagawa vibali vya kazi kwa watu ambao mwekezaji anawaamini hakuna narudia tena hakuna Mwekezaji anayetaka kuajiri mtanzania kwa tabia zenu jiandaeni ajira zenu kuchukua Wakenya,Wazimbabwe,Wanyaruanda ,Waganda ,Wahindi na Wachina
Namuonea huruma Raisi ajae kwani atapambana na mabeberu wapya wa kiswahili ambazo tupo busy kuwaanzisha ... wacha mama afungue milango tu wataingia nzi,mbu,nzige ,vumbi na kila kitu pia naona mabeberu wameshajua jinsi ya kupush ajenda zao ni kuipressure serikali kupitia mitandao
Kuna ajira zinakuja za watu kutafuta vijana na kuwaweka sehemu na kila mtu kuwa na account 10 za Twitter wakiwa vijana 30 au 50 ni account 500 kwa siku kila mtu kutuma Tweets 10 kila account jumla ni tweets 5000 na serikali ilivyo kuwa ya kimtandaoni mpk usk wa manane wapo mitandaoni naona ajenda za watu zikipita kwa njia ya kimitandao si Bungeni (Lobbying) kama ilivykuwa zamani ... kwa maana serikali yenu ni sikivu na inataka kuwaridhisha wanamtandao itatekeleza nawambia namwambia watanzania hili nalo sema linakuja au lipo njiani kuja
Kura nini kwani,maslahi ya taifa ni zaidi ya kura.Ndio tunachotaka atekeleze miradi tutampa kura tofauti na hapo tutamfurusha yeye na CCM yake