kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 618
- 1,258
Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma roho zinawaumaNi swala la muda tu.Hapa hatuna Rais
MATAGA wamenunuliwa simu na Doto na Bashiru ili wamchafue mh.Rais.Nahisi kama mleta mada ana multiple ids maana si kwa majibu hayo
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Ni dhahiri huyu mama anautu na ubinaadamu ndiyo maana ya uongozi, Jua anaongoza watu sio mifugo, kama ataiga style ya JK na akaboresha alipokosea JK sioni kama kunashida yoyote.Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Huyu mama naona ndo kaiuwa chadema maana nyumbu wote wamehamia CCM.MATAGA mnaona haya.Mwacheni Mama afanye anavyoona, mbona hayati mlimuacha afanye alitakalo.
Tuna ku-trace kwa hii comment yako hapa.Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
Huyu mama ataongoza kama kiongozi wa kawaida.Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
Mama Samia ndio mwokozi, Watanzania walikuwa wanamsubiria... Praise team mtahama nchi..
Mnafiki ni yule aliyekuwa anajifanya mtetezi wa wanyonge kumbe hana lolote...
Eti tunajenga kwa fedha zetu za ndani, kumbe ni fedha za mikopo...
Akwende zake huko akaongoze malaika...
Mkuu watu ni wajinga sana..hawajui wananchi wanahitaji nini na mama nae kafuata huo huo mkumbo..sio kwa zile hotuba zake yaan hata kuziskiliza ni kero..anataka turudi enzi za kina jk.kuchekeana chekeana.. hatutaki uswahili kwenye masuala ya kulipa kodi kwenye masuala ya rasilimali za nchi..Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
Tuna ku-trace kwa hii comment yako hapa.