Junior Nicky
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 608
- 590
Kuna Vidonge vinaitwa Prozac vinatibu Stress anxiety vinatibu pia NONGWA.
Fluoxetine, sold under the brand names Prozac and Sarafem among others, is an antidepressant of the selective serotonin reuptake inhibitor class. It is used for the treatment of major depressive disorder, obsessive–compulsive disorder, bulimia nervosa, panic disorder, and premenstrual dysphoric disorder. Wikipedia
IUPAC ID: N-methyl-3-phenyl-3-[4-(trifluoromethyl)phenoxy]propan-1-amine
Molar mass: 309.33 g/mol
Formula: C17H18F3NO
CAS ID: 54910-89-3
Pronunciation: /fluˈɒksətiːn/
Metabolism: Liver (mostly CYP2D6-mediated)
Protein binding: 94–95%
Tafadhali jaribu.
Ametoa msaada kwa Uganda!Alichokifanya Samia kule Uganda naona ametekeleza kwa vitendo ule msemo wao na mwendazake sisi ni donor country.
Wengine mmeshindwa hata kuendesha familia zenu halafu mnalalamikia Samia kuendesha nchi,
Acheni mama aivute Uganda, Uganda ni soko kubwa Kwa sababu wanaconnection kubwa na South Sudan na DRC, Kenya wanaexport sana huko, ache mama awape kiduchu tuanze export manufactured goods kwenda Uganda ili wapate mbadala wa Kenya,
Biashara ndo itaitoa hii nchi, wenye fuso wako boda hapo wansubiria mambo yachangamke wapige hela.
Kuna bwana mdogo hapa ni konda wa malori, kanunua plot ya 8M, nimefika kumpongeza, ndo kanipa taarifa miezi mi5 hayuko boda ya Namanga sasa, yeye sasa ni business za Mtukula Tu, na hela IPO.
Pegini kazi acheni porojo.
Tuweke record sawa, huyu hakuwahi kugombe, aliteuliwa so kusema kwamba alikua na ndoto ya kua RAIS i think sio sawa! Hakuwahi kuonesha nia ya kuongoza TAIFA kubwa kama Tanzania
Rais anaongozwa na Sera za CCM, huwezi kumshambulia Rais ukakiacha Chama Cha Mapinduzi pembeni hapana utakuwa humtendei haki.Worst president ever
hivi rais samia suluhu hasan ana mume ? kama yupo atakua muislam ? kwa ile royo tua akiingalia jinsi peter anafanya dah aiseee , yani kama samia asingekua rais , uyu mume wake angempa talaka fasta
Wapo na mama UVCCM Vijana wengi mbonaTaifa lenye wasomi vijana wajinga
alipandisha bei ya nini?Sukuma gang kwa mbwembwe zote wanajaribu kulinda legacy, kwamba mtu wao alikuwa bora, hakuna mtu alipndisha bei ya vitu kama mwenda zake,
Nchi imegawanyika sana hii na ikiendelea kama hivi itasambaratika tuu. Wengi wanataka iongozwe kidikteta, iongozwe kama China. Wengine wanataka iongozwe kidemokrasia kama nchi za magharibi. Mwisho wake tutakuwa kama ilivyokuwa Korea, upande wa kaskazini unafungamana na China, upande wa kusini unafungamana na Marekani. Nchi ikagawanyika na kuwa nchi mbili, North Korea na South Korea. Nchi haiwezi kubaki pamoja kama watu wanataka mifumo tofauti.
Ninashawishika kuamini huu uchambuzi wako kwa sababu zifuatazo.Tokea Mama Samia Suluhu awe Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania sikutaka kutoa Maoni yangu juu yake kwasababu nilitaka nijiridhishe kwanza kwa kumpa muda mrefu ili nione ideas zake pamoja uwezo alionayo wa kuongoza nchi kwa kupima kupitia utendaji wake...
Hakuna kitu kama hichoNchi imegawanyika sana hii na ikiendelea kama hivi itasambaratika tuu. Wengi wanataka iongozwe kidikteta, iongozwe kama China. Wengine wanataka iongozwe kidemokrasia kama nchi za magharibi. Mwisho wake tutakuwa kama ilivyokuwa Korea, upande wa kaskazini unafungamana na China, upande wa kusini unafungamana na Marekani. Nchi ikagawanyika na kuwa nchi mbili, North Korea na South Korea. Nchi haiwezi kubaki pamoja kama watu wanataka mifumo tofauti.