Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Yaani uganda ambayo ilitakiwa kuwa koloni letu baada ya kuiteka mwaka 1978 leo ndo inatugawia sukari na dawa za ARV? haya mambo ya ajabu sana....
 
Kuhusu kukopa sana hilo unamuonea bure.
Hakuna Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyekopa sana kama Magufuli, tatizo ni kwamba Magufuli hakuwa muwazi kwa kuogopa aibu maana bwana yule uungu aliupenda sana
 
[emoji1787][emoji28]
Kuna Vidonge vinaitwa Prozac vinatibu Stress anxiety vinatibu pia NONGWA.

Fluoxetine, sold under the brand names Prozac and Sarafem among others, is an antidepressant of the selective serotonin reuptake inhibitor class. It is used for the treatment of major depressive disorder, obsessive–compulsive disorder, bulimia nervosa, panic disorder, and premenstrual dysphoric disorder. Wikipedia
IUPAC ID: N-methyl-3-phenyl-3-[4-(trifluoromethyl)phenoxy]propan-1-amine
Molar mass: 309.33 g/mol
Formula: C17H18F3NO
CAS ID: 54910-89-3
Pronunciation: /fluˈɒksətiːn/
Metabolism: Liver (mostly CYP2D6-mediated)
Protein binding: 94–95%

Tafadhali jaribu.
 
Sukuma gang kwa mbwembwe zote wanajaribu kulinda legacy, kwamba mtu wao alikuwa bora, hakuna mtu alipndisha bei ya vitu kama mwenda zake,
 
Wengine mmeshindwa hata kuendesha familia zenu halafu mnalalamikia Samia kuendesha nchi,

Acheni mama aivute Uganda, Uganda ni soko kubwa Kwa sababu wanaconnection kubwa na South Sudan na DRC, Kenya wanaexport sana huko, ache mama awape kiduchu tuanze export manufactured goods kwenda Uganda ili wapate mbadala wa Kenya,

Biashara ndo itaitoa hii nchi, wenye fuso wako boda hapo wansubiria mambo yachangamke wapige hela.

Kuna bwana mdogo hapa ni konda wa malori, kanunua plot ya 8M, nimefika kumpongeza, ndo kanipa taarifa miezi mi5 hayuko boda ya Namanga sasa, yeye sasa ni business za Mtukula Tu, na hela IPO.

Pegini kazi acheni porojo.
 
ni dhambi kununua sukari uganda?
ni dhambi kununua ARV uganda?
 
sasa hivi wote tumekuwa wanasiasa tunacheza ngoma za wanasiasa tu huku tukiachia wengine fursa na matokeo yake wengine wakitajirika tunawaita Wezi au Freemasons
 
Worst president ever
Rais anaongozwa na Sera za CCM, huwezi kumshambulia Rais ukakiacha Chama Cha Mapinduzi pembeni hapana utakuwa humtendei haki.

CCM oyeeeeeee, Samia oyeeeeee !!

Hutaki tangulia Burundi... !!
 
hivi rais samia suluhu hasan ana mume ? kama yupo atakua muislam ? kwa ile royo tua akiingalia jinsi peter anafanya dah aiseee , yani kama samia asingekua rais , uyu mume wake angempa talaka fasta

Wewe ndiye yule unanuna demu wako akiongea na jinsia ya kiume... Pua mind
 
mwenzenu nina hasira na washauri wake tu,hawa kenge ni wa kuua kwa jiwe kabisa.

bimkubwa anapuyanga mpaka mtu unabaki mdomo wazi.
 
Nchi imegawanyika sana hii na ikiendelea kama hivi itasambaratika tuu. Wengi wanataka iongozwe kidikteta, iongozwe kama China. Wengine wanataka iongozwe kidemokrasia kama nchi za magharibi. Mwisho wake tutakuwa kama ilivyokuwa Korea, upande wa kaskazini unafungamana na China, upande wa kusini unafungamana na Marekani. Nchi ikagawanyika na kuwa nchi mbili, North Korea na South Korea. Nchi haiwezi kubaki pamoja kama watu wanataka mifumo tofauti.

Nchi ipi hiyo unazungumzia CUBA au Venezuela
 
Tokea Mama Samia Suluhu awe Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania sikutaka kutoa Maoni yangu juu yake kwasababu nilitaka nijiridhishe kwanza kwa kumpa muda mrefu ili nione ideas zake pamoja uwezo alionayo wa kuongoza nchi kwa kupima kupitia utendaji wake...
Ninashawishika kuamini huu uchambuzi wako kwa sababu zifuatazo.

1.
Kauli zenye kuwasuta wanaopinga ideologies zake

2.
Mwebendo wa unaotia mashaka wa wasaidizi wake ambapo ni kama wanapiga matukio kimya kimya na kumuachia jumba bovu kumuangukia

3.
Kushindwa kuunda serikali yake na kuamua kuirithi ya mtangulizi wake

4.
Kujilinganisha kiuwezo na marehemu huku akimnanga huku akijua theory kuwa deadman dont speak.

5.
Maamuzi ya kuwazibia mianya wananchi wa hali ya chini kujipatia vipato halali kwa uchuuzi mdogo.

Mengine mtajazia....
 
Hivi Tanzania kuna rais kwan nijuavyo hakuna

Nasikia uganda ndo rais yupo huko
 
Nchi imegawanyika sana hii na ikiendelea kama hivi itasambaratika tuu. Wengi wanataka iongozwe kidikteta, iongozwe kama China. Wengine wanataka iongozwe kidemokrasia kama nchi za magharibi. Mwisho wake tutakuwa kama ilivyokuwa Korea, upande wa kaskazini unafungamana na China, upande wa kusini unafungamana na Marekani. Nchi ikagawanyika na kuwa nchi mbili, North Korea na South Korea. Nchi haiwezi kubaki pamoja kama watu wanataka mifumo tofauti.
Hakuna kitu kama hicho

Nchi hii kila mtu akingia anangalia

Maslahi yake tu

Ova
 
Back
Top Bottom