Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mradi wa umeme wa mto Rufiji umeishia wapi?
Umeishia wapi kivipi? Mbona una shida sana wewe? Unaendelea na utekelezaji na umefikia 44% ..

Muwe mnasikiliza updates za hiyo miradi vinarushwa kwenye tv Kila week ,wewe uko Nchi gani?

Hakuna mradi uliosimama, Serikali ya Sasa ina pesa nyingi sana sio kama awamu ile hakuna pesa na chache zilizopagikana ndio zikawa za maonyeshi kwenye hiyo miradi kila siku..

Miradi mingine mipya ya mabilioni inaanza rasmi mwaka huu 👇



 
January Makamba bwana, hivi kwanini una hasira na Magu wakati wewe hata kufanya kazi huwezi.
 
Usitusemee Watanzania wote siyo familia yako jisemee wewe mwenyewe
 
Ni vigumu kuamini kwamba miongoni mwa mambo aliyokusudia Rais ni pamoja na kupiga picha na kuweka shada kwenye makaburi huko ghana!

Nchi na dunia nzima kwa sasa inapitia kipindi kigumu kiuchumi kutokana na gharama za kuendesha maisha kuwa juu; kwasababu ya kuongezeka kwa bei ya bidhaa.

Ajabu ni kushuhudia viongozi wa kisiasa hapa nchink kuendelea na ziara za nje ya nchi. Ukweli ni kwamba, wananchi wengi hawaelewi dhamira za viongozi hao!
 
Hizi chuki za kisoro dhidi ya Rais wetu ifikie wakati zikomeshwe mara moja. Mama chapa kazi tulio wengi tuko nyuma yako. Na sasa hivi huko Benet na Mbowe mtumie vizuri katika ushauri wa kiuchumi, kijamii na kiasa. Mwamba yuko vizuri sana hatakuangusha.
 
Mmeona vitu vinapanda unga kilo tano ni elfu 8 mchele umefika 2500 huku mmbande vitu vimepanda hadi cream lotiob na tyubu nazo zimepanda,mama samiya kweli umeshindwa kudhibiti mfumuko jee utaweza kutuvusha kipi kingine, umeshindwa kudhibiti mfumuko utaweza nini mama yangu?juuzulu ukalee wajukuu hapo makunduchi, uwezo wa kuongoza talanta hiyo huna shost
 
Heee bibi mfumuko wa bei umekushindwa kuzibiti, utaweza mambo mazito?Nahisi hata maamuzi hufanyi wewe, kiujumla uwezo wa kuongoza huna.Huo ndo ukweli ukubali ukatae, wanaokusifia wakusifiye mimi ni mwanamke mwenzio nakwambia tu bibi we uwezo huo huna!Karama ya kuongoza huna

Umeshindwa mfumuko utaweza jepi jengine, heeee,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ungejiuzulu ulee wajukuu tu kuongoza nchi huwezi
 
Kuna yule ndugu yetu anasemaga #maendeleo hayana chama em njoo umjibu huyu bibie
 
Hata mimi najiuliza hivi wale wanaomsifiaga huwa wanalipwa ama ndio wamo kwenye cycle ya walamba asali.

Ngoja tuone muda utaongea zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…