Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Watu wanakula tu,wanavimbiwa hadi wanakosa la kumshauri mama wa watu.
 
Muacheni Mama afanye kazi, mabadiliko yanahitaji muda sio over night dream
Asipofanya sasa mabadiliko, MABADILIKO yatabadilisha Yeye.

Mbona ni Rahisi tu, awafukuze Makamba na Mwigulu waingie watu waliobobea,waadilifu, wenye uzoefu kwenye masuala hayo watusaidie kuukwamua Uchumi wetu.
 
Fanya kazi acha uvivu,kulia lia ni adui wa maendeleo.
 
Hakuna Waziri Mkuu Muongo Duniani kama Kassim Majaliwa!!!
 
Hakuna cha luzuku ya petrol na disel, tunakufa.
 
Msimstue ili azidi kuharibikiwa kazi iwe nyepesi huko mbele ya safari

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Naskia maama kazungukwa na mgaso ndo ina control akili ya bi mdashi kwa sasa.

Kikubwa tusubiri nn kinafuatwa 2025 inshallah kheri itakuepo!


Naomba kuwasilisha.
 
Kuongoza nchi siyo sawa na kula ugali eti kila mtu ana weza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…