Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hili ndilo tatizo. Anapokuwa wa juu ni tumpendaye, basi hana kosa. Na akiwa tusiyempenda hana jema. Hatuangalii mambo kwa jicho la kupima ukweli.Hata sisi kipindi cha mwendazake tulikuwa tunalalamika hivi
Asipofanya sasa mabadiliko, MABADILIKO yatabadilisha Yeye.Muacheni Mama afanye kazi, mabadiliko yanahitaji muda sio over night dream
Fanya kazi acha uvivu,kulia lia ni adui wa maendeleo.Mama kunahaja ya yeye kuangalia washauri wake ni kama haoni mambo yanavyoenda malalamiko ya wananchi ni makubwa yeye ameziba masikio kule Bima huku mfumuko wa bei kila kitu kipo hoi watendaji wake wanakula kuku kwa mlija huku wananchi wakisoma namba kwa kukosa huduma mbalimbali za kijamii kwa kweli nchi yetu kuongoza ni rahisi sana. hii awamu ni ngumu na hatari kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Mama hali ni ngumu mno tena ni ngumu mno hao vijana wako ni matapeli wanakupotosha huku mtaani mambo ni magumu mno watu wamechoka chakali! wanakuita majinamengimengi mwisho wa siku watatoka hapo yatakuwa kama ya srilanka.
Kwahiyo wakitoka makamba na mwigulu maisha yatakuwa mepesi?Asipofanya sasa mabadiliko, MABADILIKO yatabadilisha Yeye.
Mbona ni Rahisi tu, awafukuze Makamba na Mwigulu waingie watu waliobobea,waadilifu, wenye uzoefu kwenye masuala hayo watusaidie kuukwamua Uchumi wetu.
Itakua unaishi shimoni,siyo kufuatilia habari za wcb tu..mfumuko wa Bei ni dunia nzimaHalafu akiwa jukwaaani anavyo ongea kihuruma huruma sasa
Na bado China huko na Taipei moto unafukutaaItakua unaishi shimoni,siyo kufuatilia habari za wcb tu..mfumuko wa Bei ni dunia nzima
Wanaichafua kivipi fafanuaMawaziri wawili vijana wa nishati na fedha wanaichafua taswira ya taasisi ya urais makusudi.
Wenye chama Chao chukueni hatua.
Hata mlipoambiwa Rais MUNGU MTU KAFA mlibisha[emoji1787][emoji1787]Acha urongo
Msimstue ili azidi kuharibikiwa kazi iwe nyepesi huko mbele ya safariMama kunahaja ya yeye kuangalia washauri wake ni kama haoni mambo yanavyoenda malalamiko ya wananchi ni makubwa yeye ameziba masikio kule Bima huku mfumuko wa bei kila kitu kipo hoi watendaji wake wanakula kuku kwa mlija huku wananchi wakisoma namba kwa kukosa huduma mbalimbali za kijamii kwa kweli nchi yetu kuongoza ni rahisi sana. hii awamu ni ngumu na hatari kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Mama hali ni ngumu mno tena ni ngumu mno hao vijana wako ni matapeli wanakupotosha huku mtaani mambo ni magumu mno watu wamechoka chakali! wanakuita majinamengimengi mwisho wa siku watatoka hapo yatakuwa kama ya srilanka.
Sukumagang si ndio inasemekana wamemzunguka Rais na wanakwamisha maendeleo.Mama SSH anania nzuri sana na nchi sema amezungukwa na "mbwa mwitu" wabaya sana!