Peace,
Awali niweke wazi sina chama, sio mwanasiasa ni raia ninaeipenda nchi yangu.
Back to my point. rais Samia hana sifa za kua rais nisikuchoshe fuatana na mimi:
1. Ni mtu asiejiamini hata punje " mimi ndie rais" I mean tangu lini kiongozi ajisifie kua kiongozi.
2. Hana utashi wa uongozi. Niambie kiongozi gani kila kitu anawaambia wasaidizi wake ati "hili nalo mkalitizameni" Yeye maono yake ni yapi katika muktadha wa kiongozi mwenye dira ?!
3. Kapatikana kwa kubebwa na sio utendaji kazi wake. Kama wanawake wengine wanavyopata nafasi kwa upendeleo, haina utofauti na mtu ambaye alikua tu secretary kwenye asasi ya kiraia akashawishiwa kujiunga na siasa na kupata ubunge, uwaziri wa kupewa kisha kuzawadiwa umakamu wa raisi kisha booom !! Rais kafa yeye akawa rais.
4. Udini, upo mpaka kwenye mifupa mpaka Ngorongoro kawagawia ndugu zake wa Oman na wazawa waMasai kuwafurusha kama wakimbizi.
5. Hana dira yoyote. Muulizeni tunaelekea wapi atajibu "hebu kalitizameni"
6. Hisia nyingi. Kiongozi unawezaje kuwaambia wasaidizi wako "kuleni msivimbiwe" au "mimi sikuumbwa kufoka" ! Kwahyo kama haukuumbwa kufoka unafanya nini kwenye nafasi ya kiongozi katika taifa la mawaziri walafi na mafisadi ?! Kwahiyo waendelee kujineemesha na wewe hautafoka uko kimya ?!
7. Hana busara ya mtawala, akisikia jambo analipuka na kushambulia watu kwa maneno. Mnakumbuka alivyo mchamba Ndugai almost 30 minutes ana mchamba Ndugai, au msesahau alivyo mchamba IGP mstaafu Siro mpaka Siro akamwambia "Chukua jeshi lako"
8. Ni mpenda anasa na starehe. Imagine kila kukicha anawaza kusafiri huku na huko na hakuna tija ni kuungurumisha mindege na magari kuchoma mabillion ya fedha za walipa kodi. Kuna kipindi kama mnakumbuka kutoka Dar to Dodoma alikua anapanda boing wakamshauri ataziua umbali uo ni mdogo kwa safari ya ndege kubwa vinginevyo hata kutoka Chamwino kwenda Mpwapwa angekuaanawasha boing.
9. Hii ni bonus. Seriouslly niambieni kulikua na ulazima gani kubadili nguo mara nne katika ziara yake ya hapo Ug kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta bla bla bla. Ufahari mwingi unajiuliza kero za wananchi zimekwisha mpaka bibi kuamua kutumia muda katika kubadili mavazi ya gharama mara tano kwa siku