Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Na hayupo hapo ili apendwe!.. na hakuna Raid aliewahi kupendwa. Na watu wote nchii hii na haito tokea
 
Hayo ya dini yamekujaje tena?
Huo ndio ukweli, wengi wanajificha kwenye mambo ambayo hayapo, lkn nyuma yake wanamchukia kisa MWANAMKE, MZANZIBAR na DINI yake.

Kwnye maendeleo ya watu MAMA SAMIA AMEMUACHA MBALI MNO MAGUFULI.

Mimi namkubali sana MAGUFULI ila kwenye maendeleo ya watu ameachwa mbali na SAMIA.
 
Kama kuna watu 1000 hapa Tz ambao sio wanasiasa wala watumishi wa umma wala wafanyabiashara wanaomkubali rais samia basi nipo tayari kutoa gari yangu

Wanaomkubali Samia kwasasa kati ya watu milioni 60 huku Bara basi hata 1000 hawafiki

Nimetafuta raia wa kawaida anayemuunga mkono huyu bibi hayupo hata 1000 hawafiki nchi nzima

Hakubaliki, hapendwi wala hakuna mwenye hamu ya kumsikia huo ndio ukweli, mtaani ni ngumu sana kumkuta mtu anamkumbali rais Samia ukiachana na watumishi wachache wa umma na wanasiasa, na wafanyabiashara baadhi.

Huo ndio ukweli, mwambieni Rais ukweli kuwa hakubaliki kabisa kwa upande wa Tanzania bara.
Tunaomkubali tutakuonesha wakati wa uchaguzi!!saa mbili asubuhi tunatangaza ushindi wa kishindo,na akitoka tunamweka Mwigulu
 
Huo ndio ukweli, wengi wanajificha kwenye mambo ambayo hayapo, lkn nyuma yake wanamchukia kisa MWANAMKE, MZANZIBAR na DINI yake.

Kwnye maendeleo ya watu MAMA SAMIA AMEMUACHA MBALI MNO MAGUFULI.

Mimi namkubali sana MAGUFULI ila kwenye maendeleo ya watu ameachwa mbali na SAMIA.
Dini yake imefanya nini hadi wamchukie na ndio unataka kusema waislamu wote wanampenda Samia?
 
Hiyo point no 5 nakumbuka Chato ilivyokuwa ikibebwa kiupendeleo mazuzu ya Jiwe yalikuwa yakikimbilia kujibu 'kwani Chato siyo Tanzania, basi halikadhalika hata Zanzibar ni Tanzania pia'.
Zamu yao wala urojo, kutesa kwa zamu.
Viongozi wote wanaofanya hivyo hawafai.
Nchi haiwezi kufanya utaratibu huo ndiyo uwe wa kawaida kwenye taifa hili.
 
Mnaweza kunambia ni kipi cha maana alichokifanya rais Samia hadi sasa ambacho kimegusa raia wa kawaida au kumsaidia??

Nambieni ni kipi kakifanya ambacho kinaweza kuwa sababu ya yeye kusema amefanya kazi ya kusaidia wananchi wake

Nataka kimoja tu ambacho kakifanya ambacho tunaweza kusema kimemgusa mtu wa chini tokea awe Rais
Hakuna.
Haya umeridhika?
 
Hahaha!...mbona huelewi ndugu, NAULIZA HIVII KATIKA MAZINGIRA YOYOTE YALE HAKUNA MTU DUNIANI ANAYEPEWA MAMLAKA NA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA RAIS BILA KUAPISHWA/KIAPO...AU wewe uliona wapi hii??...toa mfano hapa.

Na hakuna mahali nimesema rais samia sio RAIS KAMILI, Bali naungana nawewe kabisa hapo kusema ni rais kamili na ana mamlaka yote ya kiutendaji kama amiri jeshi na maamuzi yote ndani na nje ya nchi kwa niaba yetu watanzania(Maana ata akienda kukopa mikopo hakopi kwa jiani lake bali jina la TZ)

Mbona katiba ilishaweka wazi hili ndugu...
"Kwa mujibu wa kifungu cha 37 (5) cha Katiba ya nchi hiyo iliyotungwa mwaka 1977, nafasi ya urais inapokuwa wazi kwa sababu yoyote ikiwemo kifo, viongozi watatu wameorodheshwa na ni Makamu wa Rais, na endapo hatakuwepo atachukua Spika wa Bunge na kama hayupo atachukua Jaji Mkuu"

Hivyo "
endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano..." inaeleza katiba ya Tanzania katika kifungu cha 37 (5).

KWA MUJIBU WA MANENO HAYO HAPO MWISHONI(atakuwa Rais kwa MUDA ULIOBAKI katika kipindi cha miaka mitano..). HIVYO YEYE ATAMLIZIA TU KIPINDI KILICHOBAKIA KATIKA HIYO MIAKA MITANO ILIYOSALIA YA AWAMU HUSIKA NA NDIO MAANA NIKASEMA BADO TUPO AWAMU YA TANO...HAISTAHILI KUWA AWAMU YA SITA. Na ndio maana hana/hakuna ilani/Dira ya awamu ya sita Kama mpango wa utekelezaji miradi na Vipaumbele vya Maendeleo kwa awamu yake mpya ya.6.

Na ukiulizwa hapa Vipaumbele vya maendeleo katika awamu ya sita ni vipi utasemaje?...na vimeainishwa wapi??...kama unavyo viweke hapa tafadhali.
Kwa hiyo Samia anaweza kukaa Madarakani mpk 2035!?
Mana hii anamalizia tu ya Mwendazake
 
Mgao wa umeme na mgao wa maji kweli anaupiga mwingi aendelee kuupiga mwingi atengeneze historia ya kutukuka katika kuupiga mwingi.
1446634139814.jpg
 
Angalia tatizo la umeme lilivyo sugu hakuna jitahidi mnazofanya kutatua tatizo hili.
Angalia matatizo ya maji hakuna juhudi zozote mnazofanya kutatua kero hii.
Angalia huduma kwa Wananchi zilivyo hovyo na hamjali kabisa. Si hospitalini, si shuleni kila kitu kiko hovyo.
Angalia gharama za maisha zilivyo panda hata hamjali kabisa.
Hivi mwaka 2025 mtaomba kura kwa Wananchi wa Nchi gani? Na mtatumia maneno gani kutushawishi ili mpewe kura zetu?
Kila siku mnazungumzia masuala ya kukuza uchumi, hivi mnajua katika ulimwengu wa sasa umeme ndiyo kitu pekee kinacho changia kukuza uchumi karibia kwenye kila eneo. Sasa hivi ni miezi umeme unakatika, huo uchumi mnakuzaje?
Msilete habari za kusema kuwa maji hayapo. Kwa miaka 50+ madarakani mmeona maji tu ndiyo chanzo cha umeme? Mbona tuna rasilimali nyingi sana za kuzalisha umeme?
Pia Rais Samia, huna meno ya kung'ata kabisa. Nchi ndiyo inaongozwa namna hii nyie CCM?
Mawaziri kwenye wizara zenu mna kazi gani nyinyi?
Mbona hii serikali yenu goigoi sana? Serikali yenu vivu, haing'ati kabisa katika kutatua kero za Wananchi.
Nachukia sana kuongozwa na serikali vivu na goigoi namna hii.
 
Peace,
Awali niweke wazi sina chama, sio mwanasiasa ni raia ninaeipenda nchi yangu.

Back to my point. rais Samia hana sifa za kua rais nisikuchoshe fuatana na mimi:

1. Ni mtu asiejiamini hata punje " mimi ndie rais" I mean tangu lini kiongozi ajisifie kua kiongozi.


2. Hana utashi wa uongozi. Niambie kiongozi gani kila kitu anawaambia wasaidizi wake ati "hili nalo mkalitizameni" Yeye maono yake ni yapi katika muktadha wa kiongozi mwenye dira ?!
headless.jpg


3. Kapatikana kwa kubebwa na sio utendaji kazi wake. Kama wanawake wengine wanavyopata nafasi kwa upendeleo, haina utofauti na mtu ambaye alikua tu secretary kwenye asasi ya kiraia akashawishiwa kujiunga na siasa na kupata ubunge, uwaziri wa kupewa kisha kuzawadiwa umakamu wa raisi kisha booom !! Rais kafa yeye akawa rais.
20210928_203641.jpg


4. Udini, upo mpaka kwenye mifupa mpaka Ngorongoro kawagawia ndugu zake wa Oman na wazawa waMasai kuwafurusha kama wakimbizi.

5. Hana dira yoyote. Muulizeni tunaelekea wapi atajibu "hebu kalitizameni"



6. Hisia nyingi. Kiongozi unawezaje kuwaambia wasaidizi wako "kuleni msivimbiwe" au "mimi sikuumbwa kufoka" ! Kwahyo kama haukuumbwa kufoka unafanya nini kwenye nafasi ya kiongozi katika taifa la mawaziri walafi na mafisadi ?! Kwahiyo waendelee kujineemesha na wewe hautafoka uko kimya ?!

7. Hana busara ya mtawala, akisikia jambo analipuka na kushambulia watu kwa maneno. Mnakumbuka alivyo mchamba Ndugai almost 30 minutes ana mchamba Ndugai, au msesahau alivyo mchamba IGP mstaafu Siro mpaka Siro akamwambia "Chukua jeshi lako"

20210914_162423.jpg

8. Ni mpenda anasa na starehe. Imagine kila kukicha anawaza kusafiri huku na huko na hakuna tija ni kuungurumisha mindege na magari kuchoma mabillion ya fedha za walipa kodi. Kuna kipindi kama mnakumbuka kutoka Dar to Dodoma alikua anapanda boing wakamshauri ataziua umbali uo ni mdogo kwa safari ya ndege kubwa vinginevyo hata kutoka Chamwino kwenda Mpwapwa angekuaanawasha boing.

9. Hii ni bonus. Seriouslly niambieni kulikua na ulazima gani kubadili nguo mara nne katika ziara yake ya hapo Ug kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta bla bla bla. Ufahari mwingi unajiuliza kero za wananchi zimekwisha mpaka bibi kuamua kutumia muda katika kubadili mavazi ya gharama mara tano kwa siku
 
Back
Top Bottom