Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Magufuli is dead, dead for good
Like it or not, Samia ndiye rais na ni bora 100 times kuliko magufuli
Sasa Hayati Rais Magufuli ameingiaje hapa? Mbona bado unahangaika naye tu karibu miaka miwili hayupo lakini bado unaweweseka tu. Vipi alikuacha na mimba yake nini!! tupo sisi tunaweza kukusaidia kulea mimba hiyo. Pole sana.
 
Mimi ndio Rais na ninaelewa kila kila

Hii kauli tumeizoea kwa aliepita
Na huyu pia hatakuwa wa mwisho
Tutaganga njaa na kuburuzwa kwenye Dunia hii hata wewe ukiwa Rais utatupiga tu kwa tamaa
 
Yaani akiachia ngazi 2025 atakua kalitendea taifa jambo jema sana. kiitikadi sio mjamaa wala sio mwanamapinduzi. Hastahili kuongoza chama cha mapinduzi.

Wabinafsi wanamzonga na sera ya PPP huku lengo lao kuiba uwekezaji wa umma. Yaani serikali iwekeze na wao huku wanawekeza hewa kama wale wahuni wa simon group and then wavune toka investments za umma.
 
Twende na Mh. SSH Hadi 2030. Sisi tunamkubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…