Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

siasa ni jinsi ya kufanya aongoze kirahisi, kupunguza resistance

Mikakati ya uchumi ataitekeleza vizuri baada ya kupunguza resistance,

Ambapo hadi sasa amefanikiwa kuongoza kirahisi kuliko mtangulizi wake
Kuongoza kirahisi vipi?
 

Jahazi Imezama Sasa Hivi, Mungu Tu Ndiye Ajuaye

 
Samia ni mysterious and she delights in being mysterious.
 
Nenda kafanye kazi boya wewe, unakaa JF unadhani Serikali itakuwekea fedha mfukoni? Changamkia fursa unazozisikia zikitolewa kwenye kilimo, utalii nk.

Kupanda Bei kwa bidhaa za chakula ni kipato kwa wakulima. Kupanda kwa petroli ni global crisis
 
Sinaga sifa za kipambavu, wenye Hali ngumu watakuja pm kujiomboleza kwako tajiri mwenye Hali mbaya.
 
Ni msemo ambao nimekuwa nikiusikia hivi karibuni kuhusu kile ambacho watu wa Mama wanasema ameweza kuwahimili Upinzani kwa kuwavuta kwake, kwahio hawamsumbui tena kama angefanya vinginevyo....

Kauli hizi zimenifanya nipate fikra ya hadithi ya Kutunga ya Panya Buku, Panya Weupe na Panya wadogo....


Tukirudi kwenye Hoja yangu mezani ninajiuliza Ni nani mwenye Akili ? (kama kuna ukweli wowote wa watu kugawana Keki).....

  • Yule aliyeamua kugawana keki kidogo na wenzake ili asisumbuliwe.....
  • Wale waliokubali angalau kula keki kidogo (in short term) kuliko kutokupata kabisa.....
Au wajinga ni kina nani.....
  • Wale wanaosifia kwamba wengine wana akili kwa kugawana juu kwa juu kwahio wao kupoteza (ukizingatia ni wao ndio wanatafuta hicho wengine wanachogawana)
  • Wale waliokubali kupata nafuu ya muda mfupi kwahio kupoteza uaminifu kwa wanaotafuta...
  • Yule aliyeamua kuwagawia wapiga kelele, hivyo kupata shida ya kuendelea kuwapa siku akiacha wanaanza kelele.....

Au hakuna mwenye akili bali wale wanaodhani hizi allegations kama ni kweli ni Akili (Yaani wanasifia ujinga kama ungekuwa kweli umefanyika) kwahio hata ukifanyika hapo baadae watasifia......
 
Je akitawala miaka kumi hali itakuwaje?

Leo hii mashoga wanazagaa hovyo mitaani. Kana kwamba kuna promotion! Kha!

Mali za umma zinaibiwa kuanzia ngazi za juu mpaka ngazi za mitaa.

Ripoti ya CAG imethibitisha kuwa rais huyu amwepwaya na mtu anayeruhusu ufisadi kufanyika ndio maana Invoive zinaforgiwa ili watu waibe kuliko enzi zile.

Wasio na chao ndio wanarnda gerezani. Huku yeye na viongozi wake wakiwafutia makosa wakosaji wanaowajua. Uonevu tupu.
 
Kama mwanao haukumlea vizuri watu wanamfumua, unailalamikiaje Ikulu? Mtafute anaemtifua mwanao mshtaki polisi sheria ifuate mkondo wake.

Majukumu ya uleaji ni family level.
 
Kama mwanao haukumlea vizuri watu wanamfumua, unailalamikiaje Ikulu? Mtafute anaemtifua mwanao mshtaki polisi sheria ifuate mkondo wake.

Majukumu ya uleaji ni family level.
Ahaaa. Sasa sheria za bunge zinafanya nini? Mbona zama zile haikuwa hivi?
 
Kuhusu ufisadi na wahusika kutowajibisha tuko pamoja, mlee mtoto wako kweny njia ipasayo hata akikua hawez iacha!! Usitegee tawala za kidunia zimlee mtoto wako. Tawala za kidunia almost zote zina ushetani!!
 

Attachments

  • 1679755198287.jpg
    14.7 KB · Views: 7
Wale waliofukuza CAG sababu ilikuwa ni ipi? 🤪🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…