Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

siasa ni jinsi ya kufanya aongoze kirahisi, kupunguza resistance

Mikakati ya uchumi ataitekeleza vizuri baada ya kupunguza resistance,

Ambapo hadi sasa amefanikiwa kuongoza kirahisi kuliko mtangulizi wake
Kuongoza kirahisi vipi?
 
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Samia ni mysterious and she delights in being mysterious.
 
mimi sioni mzee , kwangu sifa ya uchumi ni watu kuwa na pesa na mazingira mazuri ya kufanyia kazi , hasa sioni chochote kinachobadilika ,zaidi naona mfumuko tu wa bei, kila aliye kwenye nafasi kuniomba rushwa ninapofanya biashara zangu na wateja kulalamika hali ngumu walizinazo
Nenda kafanye kazi boya wewe, unakaa JF unadhani Serikali itakuwekea fedha mfukoni? Changamkia fursa unazozisikia zikitolewa kwenye kilimo, utalii nk.

Kupanda Bei kwa bidhaa za chakula ni kipato kwa wakulima. Kupanda kwa petroli ni global crisis
 
wewe una hela ! hebu sema kitu kimoja ambacho umekifanya kinaonyesha una pesa , kwa mfano mimi pamoja na kutokuwa na pesa na hali yangu kuwa mbaya nipo najenga hostel eneo la airport - mbeya, lengo ni wanafunzi wa vyuo vya TIA, TEKU na SAUT walale hapo, sasa wewe tajili sema mradi wako mmoja ambao unatambulika tu kwenye jamiii na location ulipo ili tuone una hela
Sinaga sifa za kipambavu, wenye Hali ngumu watakuja pm kujiomboleza kwako tajiri mwenye Hali mbaya.
 
Ni msemo ambao nimekuwa nikiusikia hivi karibuni kuhusu kile ambacho watu wa Mama wanasema ameweza kuwahimili Upinzani kwa kuwavuta kwake, kwahio hawamsumbui tena kama angefanya vinginevyo....

Kauli hizi zimenifanya nipate fikra ya hadithi ya Kutunga ya Panya Buku, Panya Weupe na Panya wadogo....

Hapo nyuma kidogo katika nyumba ya Bwana Masikini kulikuwa na Jamii ya Panya iliyokuwa inaishi kwa kubangaiza kutafuta chakula huku na kule. Baada ya kukaa pamoja wakaamua panya wadogo wawe wanatafuta chakula huku na kule na kukileta katika hifadhi ili Panya Buku waweze kuwatunzia na kuwagawia panapo uhitaji....

Baada ya muda wakatokea Panya weupe ambao wakawa ni watetezi wa Panya Wadogo pale ambapo Panya Buku wanafuja chakula kwa manufaa yao......, ikawa hivyo kila mara Panya Buku wakijinenepesha panya weupe (wasafi) wanapiga kelele na kuwaambia panya wadogo wawape wenyewe nafasi ya kugawa chakula.......

Sasa Panya buku Mzee akaona huu ni usumbufu akaamua kuwafukuza na kuwatupilia mbali wale panya weupe wasimsumbue katika ugawaji chakula. Kwa kitendo hicho kuna baadhi ya panya wadogo walioona kwamba sasa makombo yamekuwa mengi na kumsifu Panya Mzee kwa uamuzi wake.... Baada ya Panya Buku mzee kuondoka akaja Panya mwingine; yeye akaamua kuwaleta kundini tena Panya weupe....,

Story za baadhi ya panya wadogo mashimoni ni kwamba huyu Panya mwingine kwa kuona hizi kelele huenda zinamsumbua akaamua kugawana kile chakula (baada ya wao kula na kusaza) kuwagawia panya weupe ili nao wale.... jambo ambalo limepelekea Panya weupe kuacha kuwatetea panya wadogo, kwahio hata makombo hawapati tena sababu Panya Buku na Weupe wote wameamua kugawana wenyewe na kuwasahau....

Tukirudi kwenye Hoja yangu mezani ninajiuliza Ni nani mwenye Akili ? (kama kuna ukweli wowote wa watu kugawana Keki).....

  • Yule aliyeamua kugawana keki kidogo na wenzake ili asisumbuliwe.....
  • Wale waliokubali angalau kula keki kidogo (in short term) kuliko kutokupata kabisa.....
Au wajinga ni kina nani.....
  • Wale wanaosifia kwamba wengine wana akili kwa kugawana juu kwa juu kwahio wao kupoteza (ukizingatia ni wao ndio wanatafuta hicho wengine wanachogawana)
  • Wale waliokubali kupata nafuu ya muda mfupi kwahio kupoteza uaminifu kwa wanaotafuta...
  • Yule aliyeamua kuwagawia wapiga kelele, hivyo kupata shida ya kuendelea kuwapa siku akiacha wanaanza kelele.....

Au hakuna mwenye akili bali wale wanaodhani hizi allegations kama ni kweli ni Akili (Yaani wanasifia ujinga kama ungekuwa kweli umefanyika) kwahio hata ukifanyika hapo baadae watasifia......
 
Je akitawala miaka kumi hali itakuwaje?

Leo hii mashoga wanazagaa hovyo mitaani. Kana kwamba kuna promotion! Kha!

Mali za umma zinaibiwa kuanzia ngazi za juu mpaka ngazi za mitaa.

Ripoti ya CAG imethibitisha kuwa rais huyu amwepwaya na mtu anayeruhusu ufisadi kufanyika ndio maana Invoive zinaforgiwa ili watu waibe kuliko enzi zile.

Wasio na chao ndio wanarnda gerezani. Huku yeye na viongozi wake wakiwafutia makosa wakosaji wanaowajua. Uonevu tupu.
 
Kama mwanao haukumlea vizuri watu wanamfumua, unailalamikiaje Ikulu? Mtafute anaemtifua mwanao mshtaki polisi sheria ifuate mkondo wake.

Majukumu ya uleaji ni family level.
 
Kama mwanao haukumlea vizuri watu wanamfumua, unailalamikiaje Ikulu? Mtafute anaemtifua mwanao mshtaki polisi sheria ifuate mkondo wake.

Majukumu ya uleaji ni family level.
Ahaaa. Sasa sheria za bunge zinafanya nini? Mbona zama zile haikuwa hivi?
 
Je akitawala miaka kumi hali itakuwaje?

Leo hii mashoga wanazagaa hovyo mitaani. Kana kwamba kuna promotion! Kha!

Mali za umma zinaibiwa kuanzia ngazi za juu mpaka ngazi za mitaa.

Ripoti ya CAG imethibitisha kuwa rais huyu amwepwaya na mtu anayeruhusu ufisadi kufanyika ndio maana Invoive zinaforgiwa ili watu waibe kuliko enzi zile.

Wasio na chao ndio wanarnda gerezani. Huku yeye na viongozi wake wakiwafutia makosa wakosaji wanaowajua. Uonevu tupu.
Kuhusu ufisadi na wahusika kutowajibisha tuko pamoja, mlee mtoto wako kweny njia ipasayo hata akikua hawez iacha!! Usitegee tawala za kidunia zimlee mtoto wako. Tawala za kidunia almost zote zina ushetani!!
 

Attachments

  • 1679755198287.jpg
    1679755198287.jpg
    14.7 KB · Views: 7
Je akitawala miaka kumi hali itakuwaje?

Leo hii mashoga wanazagaa hovyo mitaani. Kana kwamba kuna promotion! Kha!

Mali za umma zinaibiwa kuanzia ngazi za juu mpaka ngazi za mitaa.

Ripoti ya CAG imethibitisha kuwa rais huyu amwepwaya na mtu anayeruhusu ufisadi kufanyika ndio maana Invoive zinaforgiwa ili watu waibe kuliko enzi zile.

Wasio na chao ndio wanarnda gerezani. Huku yeye na viongozi wake wakiwafutia makosa wakosaji wanaowajua. Uonevu tupu.
Wale waliofukuza CAG sababu ilikuwa ni ipi? 🤪🤪
 
Back
Top Bottom