Mi nakazia hapo, akwende hukoWatu tumemsahau Hadi JKN sembuse jiwe? Kwenda huko
Huo uhuru wa kuandika hivi, ni kwa ajili ya Yeye! Mwezi uliopita tu usingethubutu kuandika haya!
Muacheni mama mama a fanya anavyoona inafaa misilazimishe WAFANANE!
Mbona awamu ya tano iliwasimanga awamu ya nne na walivumilia?
Sidhani kama unajua unachokiongelea, anyway common sense is not common to all.Ikibidi tule hata majani miradi kama stigle,na Sgr lazima vikamilike maana ndio moyo wa maendeleo.
Kama huoni umuhimu wa hiyo miradi then check your self.
Hii tutaiona mapema na ndio gap ishaanza kuonekana,, kila binadama ana mapungufubyake but mwendazake ana mengi mazuri na kama kiongozi aliifanya awezalo kujenga nchi yake na watu wakeMimi nasema tatizo letu kubwa tulilo nalo wafrika ni Njaa/Shida wakati wa utawala wa Donald Trump tumeona watu wengi tu wakikaa pembeni kwa hiari zao baada ya kutofautiana Itikadi na Boss wao yani Trump na mfano ni John Bolton aliyekuwa National Security Adviser ila pia kuna James Mattis Secretary of defence, Sio hao tu ni wengi tu ila huku Bongo unakutana na Takataka kama Kigwagwala ziko tayari kufanya ujinga wowote ili zibaki na vyeo vyao. Kwa mbali namshangaa mama pia ambae alikuwa Mshauri mkuu wa mzee wetu leo mzee katutoka kila cha mzee hakifai, Pumzika kwa Amani Magufuli hakika Umeacha alama ambazo kama taifa haina muda utakumbukwa, Ni kawaida ya mwanadamu kupenda Kipya ila after sometime hukichoka pia
Ilikuwaje akaacha kujiuzuru? Hapo ndipo msingi wa mada ya Mtoa mada. Imagine kuwa na msaidizi msiyeendana mitazamo na maono. Kama angekua real, alitakiwa kuwajibika kwa Kujiuzuru kinyume chake ndio unafiki wenyewe.Samia yuko very real, je ni mara ngapi alitaka kujiuzulu?
Samia yuko very real, je ni mara ngapi alitaka kujiuzulu?
Mataga kwishney.Mkuu watu ni wajinga sana..hawajui wananchi wanahitaji nini na mama nae kafuata huo huo mkumbo..sio kwa zile hotuba zake yaan hata kuziskiliza ni kero..anataka turudi enzi za kina jk.kuchekeana chekeana.. hatutaki uswahili kwenye masuala ya kulipa kodi kwenye masuala ya rasilimali za nchi..
Time will tell..JPM will never be forgoten.
Uwanja wa ChatoHuyu mama ataongoza kama kiongozi wa kawaida.
Sidhani kama ana vision.
ie anataka kutupeleka wapi katika levo za kiuchumi.
Acha ujjnga aako wewe taga!!
Huyu alikuwa ni VP wa Jiwe,JPM,Mwamba, Dikteta and whatever you may call the late!
Unaposema huyu mama hajielewi means hata mtangulizi wake WOTE HAWAJIELWI na kwa lugha rahisi ni kwamba CCM HAIJIELEWI WATZ WANATAKA NINI??
Marehemu Magufuli kwa miaka 5 amewaburuza Watanzania bila kujua wanataka nini....!!!
Nashangaa sana mataga leo mnapoanza kumlaumu mama aliyekuwa msaidizi wa CCM YA MAGUFULI na TANZANIA YA MAGUFULI...!!!
Shame on you CCM members and all Matagas. This time around CCM mtaisoma namba!! GOD ALWAYS DO THINGS IN A VERY PECULIAR AND UNDEFINED WAY NOT UNDERSTANDABLE TO MANKIND!!!
Yale ya KANU ya Kenya yanakwenda kutokea Tanzania. Watch 2025, time gonna tell!
Ilani kitu gani?!!!
Kile ni kipeperushi cha kikundi kidogo tu cha watu, wala hakina uhusiano wowote na matakwa ya umma wa wananchi
Tumeongozwa na Mkemia Uchwara kwa miaka 5 bila kujua tunakoelekea, itakuwa mchumi?Huyu mama ataongoza kama kiongozi wa kawaida.
Sidhani kama ana vision.
ie anataka kutupeleka wapi katika levo za kiuchumi.