Kwa sasa tutawaju wazzibari humu JFMnajidanganya sana.
Hakuna kitakachobadilika
Mwendazake alikuwa iblisUkiwa kiongozi kuchukiwa ni kawaida sana. Alichokosea ni kumsimanga mwenzake akidhani yeye atapendwa na wote.
Mara ooh palikua na simba wa Yuda
Mara oooh watu walikua na nidhamu ya uoga
Mara oooh tunawalipa walioondolewa kwenye utumishi wa umma,mpaka leo imekua kimyaa.
Alipaswa aangalie mbele tu asingejihusisha na mapungufu ya mtangulizi wake.
Ni kweliTatizo la waTanganyika ni kutokuwa na action. Sijui tuwaazime waKenya watupe watu ?!.
Huu upuuzi ungesimamishwa na maandamano makubwa ya kweli. Tena yasiyo ya fujo. Dp world asingetia mguu
HaaaaaaSISI WATU WA MARA HATUWEZI KUMUELEWA MWANANAMKE WALA KUPIGA KURA KWA MWANAMKE.
UKIONA MBUNGE MWANAMKE AMEPIGIWA KURA AMEPITA UJUE KUNA MAKOSA YA KIUFUNDI YAMEFANYIKA EITHER MGOMBEA MWANAUME ANAYEKUBALIKA AMEGOMBEA KUPITIA CCM KWA HIYO TUNAAMUA TUMPE WA UPINZANI HATA KAMA NI MWANAMKE.
KWA MSINGI HUO,MIMI BINAFSI SAMIA NAMKUBALI LAKINI SIWEZI KUMPA KURA AKIGOMBEA NA MWANAUME MWENZANGU.
NI MANENO YA MLEVI MMOJA WA HUKO ,TARIME-MARA
MbususuKufeni mumfuate jjiwe
MbususuAnayechukiwa ni mamako we ngedere
Since JuneNi upepo tu utapita
Walikuwa wapi wakati migodi na maziwa vinauzwa na mkapa!? Tz hamna jeshi ni midoli ya wanasiasa tu!Hawezi kupata, unadhani manjagu na jeiwii wanakubali aiuze tanganyika, never. Ongea nao uwasikie
Tanzania hawashindi kwa Kura za masanduku.Habari za jumapili.
Niko busy kidogo kwenye ujenzi wa taifa uku Mwanza, ila shughuri zangu zinanifanya nisafiri sana mikoa ya hapa kanda ya ziwa.
Uku kipindi cha nyuma, Samia angalau raia walikuwa wanamnena kwa mazuri.
Sasahivi hali imebadirika sana, sijui ni uku au hata uko kwenu wakuu hali ipo hivyo? Yaani kitaa watu sahivi hawamuelewi Samia, yaani hawamuelewi ata kidogo. Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa waarabu.
2025 Samia ana kazi kubwa sana kuvuna kura mikoa ya; Mwanza,Kagera,Mara,Geita,Shinyanga na Simiyu.
Acha ufara basiTunamshukuru mungu wa mbinguni kwa kutuletea mama.Mpenda haki, mzalendo, mcha mungu na mwadilifu.Huyu angalau ni mtetezi wa kweli wa wanyonge
Kwani wote tulikuwa wapi wakati hivyo vnauzwa? sasa watanganyika wamejitambuaWalikuwa wapi wakati migodi na maziwa vinauzwa na mkapa!? Tz hamna jeshi ni midoli ya wanasiasa tu!
Are you God's prophet, bro?2025 mbali hivyo? Ona hii July iishe, save hii comment
Ni mtazamo wako ajabu ni kuwa huyo ibilisi mpaka leo kuna watu wanamkumbuka kwa mazuriMwendazake alikuwa iblis