Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kuwa na adabu mkuu.Hana muelekeo tangu alipoapishwa, mpaka leo hajui anatupeleka wapi mwishowe ameamua kutupeleka utumwani kabisa ndani ya ardhi yetu..
Ajabu mjinga wa sampuli hii ndio anaitwa Amiri Jeshi Mkuu, wa taifa la majuha!.
Una uhakika?Madaraka ya kulevya cheze 5% percent wewe? Ni mwendawazimu pekee ata kataa mgao huo sijui ume nielewa ata kweli
kwa watu wenye akili, hata mwaka haukuisha walishapata jibu. Tanzania inahitaji Mungu aingilie kati.Alipoingia madarakani siku ya mwanzo kabisa sikuwa na imani naye sana. Baadae akafanya mambo mazuri kwa ajili ya Tanzania na kweli kazi zake zikawa zinaonekana ni halisi.
Muda ukapita wengine wakasema ngoja tumpe muda.
Tukasema sawa so far she is running good things.
Lakini kwa haya ya hivi karibuni na yanatotokea kwa sasa mimi naona kama naanza kukata tamaa.
Tumuombee sana Kungu ageuze moyo wake awe mtumishi Mwema kwa Taifa hili.
Ameen.
Unafoka sio au kisa bimkubwa kawatunuku wajomba ndio mnatufokea sawa lakiniKuwa na adabu mkuu.
Mwaka mmoja is unfair kumpima mtukwa watu wenye akili, hata mwaka haukuisha walishapata jibu. Tanzania inahitaji Mungu aingilie kati.
😅😅😅Nimemshtua tu huyu bwana asipaniki bure bali aepuke maneno yasiyofaa. Tujadili madaUnafoka sio au kisa bimkubwa kawatunuku wajomba ndio mnatufokea sawa lakini
Sawa kiongozi sema kwenye mkataba wasisahau kuwatunuku wajomba zetu wa mashariki ya kati hawa wasimbe waliojazana mtaani maana nao wamekosa ufanisi🤔😏😅😅😅Nimemshtua tu huyu bwana asipaniki bure bali aepuke maneno yasiyofaa. Tujadili mada
Frankly speaking, Suala tata la Mkataba wa Bandari, limemuharibia sana Rais,tena limemuharibia haswa kupita kiasi. Kabla ya sakata hili, kusema ule ukweli wananchi wengi walikuwa wanamfurahia, japokuwa baadhi yao walikuwa hawamwamini sana kihivyo lakini kwa kiasi kikubwa walikuwa wanamfurahia. Baada ya kuibuka kwa sakata hili, ghafla tu wananchi wengi wameanza kutokumkubali hata kidogo,na mbya zaidi, kiwango cha Rais kutokukubalika na watu kinakuwa kwa kasi kubwa ya kutisha zaidi kwa kila siku inayoitwa leo.Alipoingia madarakani siku ya mwanzo kabisa sikuwa na imani naye sana. Baadae akafanya mambo mazuri kwa ajili ya Tanzania na kweli kazi zake zikawa zinaonekana ni halisi.
Muda ukapita wengine wakasema ngoja tumpe muda.
Tukasema sawa so far she is running good things.
Lakini kwa haya ya hivi karibuni na yanatotokea kwa sasa mimi naona kama naanza kukata tamaa.
Tumuombee sana Kungu ageuze moyo wake awe mtumishi Mwema kwa Taifa hili.
Ameen.
Asiye na adabu ni yule msaliti aliyetupeleka utumwani, huku akishangiliwa na majuha wa sampuli yako.Kuwa na adabu mkuu.
Duuh! Umechafukwa hatariHana muelekeo tangu alipoapishwa, mpaka leo hajui anatupeleka wapi mwishowe ameamua kutupeleka utumwani kabisa ndani ya ardhi yetu..
Ajabu mjinga wa sampuli hii ndio anaitwa Amiri Jeshi Mkuu, wa taifa la majuha!.
Duuh sawa nimekoma Ndugu.Asiye na adabu ni yule msaliti aliyetupeleka utumwani, huku akishangiliwa na majuha wa sampuli yako.
DaahUlipaswa kukata tamaa zamani sana
View attachment 2683912
Mi toka alipomkamata Mbowe kwa uonevu sina imani naye tena hata chembeAlipoingia madarakani siku ya mwanzo kabisa sikuwa na imani naye sana. Baadae akafanya mambo mazuri kwa ajili ya Tanzania na kweli kazi zake zikawa zinaonekana ni halisi.
Muda ukapita wengine wakasema ngoja tumpe muda.
Tukasema sawa so far she is running good things.
Lakini kwa haya ya hivi karibuni na yanatotokea kwa sasa mimi naona kama naanza kukata tamaa.
Tumuombee sana Mungu ageuze moyo wake awe mtumishi Mwema kwa Taifa hili.
Ameen.
Nyerere mbona alikataa?Madaraka ya kulevya cheze 5% percent wewe? Ni mwendawazimu pekee ata kataa mgao huo sijui ume nielewa ata kweli
Ile kesi ilikuwa ya zamani si yakeMi toka alipomkamata Mbowe kwa uonevu sina imani naye tena hata chembe