For his cruel heart n actions, he will never be forgottenMkuu watu ni wajinga sana..hawajui wananchi wanahitaji nini na mama nae kafuata huo huo mkumbo..sio kwa zile hotuba zake yaan hata kuziskiliza ni kero..anataka turudi enzi za kina jk.kuchekeana chekeana.. hatutaki uswahili kwenye masuala ya kulipa kodi kwenye masuala ya rasilimali za nchi..
Time will tell..JPM will never be forgoten.
Bora umebadilikaTumuombeeni ataweza tu, Kwa Mungu kila kitu kinawezekana
Ni mmoja wa vyeti feki au? Hao waache wafie mbali bhana! Vyeti feki! NO! Hata kama tumempata rais mwenye vyeti vya aina hiyo, NO!Ashasahaulika.
Ila ambao hawatamsahau ni wale aliowaumiza na maamuzi na ubabe wake, wale wa vyeti feki, tumbuatumbua, wa Kimara.....nk...hawatamsahau Kaa mabaya yake....haya huwa hayasahauliki.....ila mazuri husahaulika mapema sana.
Jitambulishe basi upande wako! Wewe ni nani basi? Mtanzania na mpenda mabadiliko ya kweli kama mimi?Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
Ni swala la muda tu. Hapa hatuna Rais
Hiyo ni siri yake ila kwa anayofanya yaonesha alikua haelewani na Namba 1Samia yuko very real, je ni mara ngapi alitaka kujiuzulu?
Weka hoja ili upate kujibiwa kwa hoja.Acha hallucinations..hoja hujibiwa kwa hoja si vioja na maneno ya saluni..
Mbona keshasema Vision yake ni Tanzania inayotabirikaHuyu mama ataongoza kama kiongozi wa kawaida.
Sidhani kama ana vision.
ie anataka kutupeleka wapi katika levo za kiuchumi.
mnataka ile style ya kukemewa na kukoromewa daily sio?Hotuba za mama .simekaa kama tupo kwenye kikao cha sacos
Mkuu, niache kabisa, sina akili za kushikiwa, sina interested na mtu yeyote mimiBora umebadilika
hajielewi ktk muktadha gani?Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
Huwa siwapendi viongozi wa nchi kwa mtindo wanavyopatikana. Hata huyu namuona ni feki tu, lakini ukiniambia CDM, natapika. Kwa nini CDM imeshindwa kuwa na viongozi wa maana? Wote vyeti feki na ufahamu feki! Sasa wooote wanamsifu Samia ili awaone wanafaa. Ni ajira tu inawasumbua.Mkuu, hivi unajua madhara ya kupingana ama kwenda kinyume na kiongozi wa kiimla? Hivi unakumbuka CAG Assad kilimtokea nini pale alipoamua kusimamia ukweli na weledi ktk majukumu yake? Hivi unatambua nini kilichowatokea wapinzani hasa CDM pale walipojaribu kuonyesha mapungufu na udhaifu wa serikali ya awamu ya 5?
Ukiona wimbi la wasaidizi wa Rais aliyetangulia wakijitokeza hadharani na kupingana na mitazamo yake, basi utambue kuwa kuna sehemu mambo hayakuwa sawa. Isipokuwa walilazimika kufanya hivyo ili kulinda ajira zao na hatima zao za baadaye za kisiasa.
πππ Sisi wengine tumekaa pembeni kuchungulia kwa chati...sijui Yale makontena yasiyolipia Kodi yatanza kupita Tena lini barabara...Sisi tunawahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko wanavyotuhitaji Sasa....nickel ianze kuchimbwa haraka jamani...Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
marehem pia alikua na vyeti feki na alipo ulizwa akampoteza Ben. pole saambayaNi mmoja wa vyeti feki au? Hao waache wafie mbali bhana! Vyeti feki! NO! Hata kama tumempata rais mwenye vyeti vya aina hiyo, NO!
Mbona Hayati hamkuuliza anatupeleka Wapi Acheni Unafiki wenuMama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
hata picha? pita kushoto!Weka hoja ili upate kujibiwa kwa hoja.