Kwa siku nyingine tena tupo gizani baada ya umeme kukatwa. Hakuna ratiba yoyote ya siku ya wiki wala saa. Umeme unakatwa na kurudishwa na Wahusika wakiamua au tuseme kama wapendavyo na bila taarifa. Hakuna tamko lolote kuhusu hali hii kutoka kwa kiongozu wa nchi, na imeishia wateuøe wake kila kuchao wanakuja na matamko mbalimbali kinzani ya lini adha hii itafikia tamati. Kee hii nchi Rais kweli yupo na anafahamu uhalisia wa maisha haya ya mateso matupu kwa Raia wake? Huyu Rais kama kweli yupo kwanini anajificha na haonyeshi kuguswa wala kujali?

Kama Hana uwezo si ajiuzuru akakae na familia yake, na siyo kama Hana uwezo, ni Hana uwezo kabisaMkuu tunamlaumu bure yule mama, hakutegemea kuvaa viatu alivyonavyosasa, urais unahitaji watu waliojipanga, wakasukwa wakaiva.
Sasa kwa mama umekuja kwa bahati, pia nchi kwasasa mahaba mengi, hana maamuzi maana hajui afanye nn
Hasa TanganyikaJe ni Rais wa matajiri tu?ana lengo Gani na nchi yetu?
Yamebaki kuwa maneno ya mipasho kwenye kanga.Ukizingua unazinguliwa
Tatzo mnatak viti vya kuzunguka na Ofisi zenye Ac ,vijana mjiajiri kazi zipo nyingiKama wewe ni jobless maana yake huna kazi unaelewa, gharama za maisha zilipanda kila pembe ya nchi.
Tozo, kupanda kwa nauli, kupanda bei ya vyakula, nk.
Haya yanatosha kuwa na Rais mwingine awe wa CCM au upinzani.