Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

1)Hajavuruga protokali bali Rais anaweza kumtuma yeyote popote kwa malengo yoyote. ..

By the way hata kama Rais wa Zanzibar ni mdogo kuliko Makamu wa Rais ila usisahau ,Rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi na si mkuu wa taifa..

Sasa Makamu wa Rais ni MKUU wa nchi gani ?!!

Punguza kujikuna huo mwasho wa kihananga....[emoji1787]
 
huyo mama ana wapambe wenye njaa balaa! atauza kila kitu
 
Wakuu yawezekana Mimi nikawa sioni ambacho Mh Rais Samia Suluhu Hassan anafanya au kwakuwa Niko bize sana na shughuli zangu,lakini hata kipindi Cha Rais Magufuli nilikuwa bize lakini niliona alichokuwa akifanya!

Yawezekana uenda nikawa tu na negativity Kwa Rais wetu mpendwa,hebu naomba mtu mwenye akili timamu na anayefatilia mambo anielekeze Kwa upole na Upendo ambacho amekifanya Rais Samia na kimekuwa na Impact kubwa Kwa Watanzania Kwa muda mfupi Ili nibadili mtazamo wangu

Karibuni
 
Sio kwamba hakuna cha maana wala cha mantiki alichofanya ila amekosa kile kilichohitajika na wengi.
 
Nilitaka hata nimtukane kwa vile hajafanya kitu lakini wewe umeniambia TUKANA UONE πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…