Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Shukurani mkuu Kwa kujibu hoja!

Kwa kifupi Kwa mujibu wa Bandiko lako HAKUNA CHA MAANA ALICHOFANYA!
 
Shukurani mkuu Kwa kujibu hoja!

Kwa kifupi Kwa mujibu wa Bandiko lako HAKUNA CHA MAANA ALICHOFANYA!
Kila alichofanya ndio ukomo wa ufanisi wake.

Na yeye siku moja kama atakuwa hai bado atakuja kuandikiwa memoir yenye majivuno yale madogo aliyofanya kama 'Goli la Mama' na 'Kizimkazi Festival.

Your bare minimum is her maximum accomplishment.
 
Nikimtafakari huyu chura kiziwi najiuliza kama aliweza kuuza nchi kwa mkataba wa kimangungo kama ule atashindwa vipi kunyamazia suala la utekaji au kuwa yeye anajua kila kitu 100%

Huyu Chura kiziwi ni mtu hatari sana, ila Mungu alivyo fundi anazidi kumuumba gizani na kwenye dhahiri ili mumjuwe rangi yake halisi

Yaliyojificha moyoni mwake ni mazito kiufupi hana jema wala dhamira njema na taifa hili hususani huu upande wa pili humu. Laiti mngelijua yaliyofichikana mioyoni mwake mafundoni basi msingemsupport hata kwa chembe

Huyu ni mtu hatari sana na niliwaonya humu tokea tulivyomgeuka baada ya kuanza mambo ya tozo!! Mungu atamuangamiza taratibu usiku na mchana!!!
 
Inadaiwa ya kwamba huenda awamu ya 6 ikaacha legacy kubwa ya kutumia dola kujibu hoja za upinzani, uchawa, utekaji na watu kupotea, Itakumbukwa kwa ZCO wa osterbay, RCO wa kinondoni, Itakumbukwa kwa Kamishina wa operation Awadhi na mamlaka zinawajibu wa kuwajibika?

Je, katika matukio yote hayo kuna ukweli wowote? Na je kuna haja ya mamlaka kufanya tathmini ya kujisahihisha?

Je, 4Rs zinashabihiana utekaji na kutokweka kwa watu? Je, kesi ya ugaidi ya Mbowe na akina Adamoo ndio imeishi kwa vitendo kuhusu 4Rs?

Nawaacha na andiko lenye kuzingatia katiba na sheria, unapaswa kuwa na akili ya kumsaidia mwanasheria wako kushinda kesi yoyote ya uonevu na utekaji.

Wadiz
 
.
 

Attachments

  • IMG-20240926-WA0035.jpg
    79.6 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1727368868627.jpg
    57.3 KB · Views: 4
Tatizo la Mama Samia ni mwongo sana. Ametudanganya kuhusu ripoti fake za polisi, ametudanganya kuhusu katiba na demokrasia, 4R zimejaa uongo mtupo hakuna vitendo. Mama katudanganya kwamba watatekeleza maelekezo ya tume ya jinai, Mama katudanganya atapunguza rushwa. Mama katudanganya mikataba itakuwa wazi. Mama katudanganya tatizo la maji Dar limeisha!. Mambo yote ya demokrasia ni utapeli mtupu. Sera ya diaspora nayo ni utapeli mtupu.

Mama akiacha utamaduni wa kudanganya na kutekeleza mambo kama mwaka wake wa kwanza nchi hii itabadilika.
 
Sawa amekusikia,ila Lukas Mwashambwa akajitokeza kuitetea ujinga bira kutumwa!
 
Mimi Tangu abeze kifo Cha Kibao kwa kusema vifo vyote ni sawa nilimwona ni binadamu mwenye dharau na kiburi.
 
Futa upotoshaji wako mara moja kw afya yako na ndugu zako futa tafadhali
 
Rais Samiah ananisikitisha Sana. Ni juzi tu alitoka kusema kwamba inteligensia ya serikali imejaa ndani ya chama Cha CHADEMA na kila kikao wanachofanya serikali inapokea taarifa.

Cha kuchekesha Leo analalmika na kulia kuwa walipa Kodi ndani ya Tanzania ni wachache na hata kinachokuaanywa kinaishia kwenye mifuko ya wajanja. Yani Rais anakili kwamba inteligensia yote ipo CHADEMA ila kwenye mambo ya msingi ya kiuchumi hakuna inteligensia.

Kama Rais anatuma mashushu kwenye vikao vya CHADEMA anashindwaje kutumia mashushu kwenye kujua nani halipo Kodi na nani anakula pesa za Kodi.
 
Sasa hivi anaamua ya kwake kwa sababu wakati wa Baba, Mama hakusikilizwa ushauri wake kwa hiyo mumuache kabisaa awafanyie kazi watu, besides sasa hivi watu wanahitaji faraja kwanza kwa maisha walopitia hapo nyuma.

Nawasilisha
Kama anajiamulia atakuwa anatekeleza ILaNI nyingine si ya CCM. Huko mbeleni mambo yakiharibika asahauri mambo ya mitano tena.
 
Akisema hivyo ni kutangaza kuwa kazi aliyoapa kuifanya imemshinda.
 
🤣🤣🤣
 
Yeye kazi kupigania apite 2025 basi hakuna lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…