Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Hizo ni porojo za vijiweni. JPM hakuwa mtu wa kubembeleza mtu mwingine. Hata uchaguzi wa term ya pili ilikuwa fursa nzuri ya Samia kujiengua, kama angetaka!
Na je kwa kiongozi jambazi kama JPM aliyedumu chini ya fisadi WBM na msanii JMK kwa miaka zaidi ya ishirini, unasemaje?Baadhi ya kauli ambazo tumezisikia kutoka kwa Mama Samia na viongozi wengine fulani waliohudumu chini ya JPM zinaonesha kwamba hao viongozi
Je jambazi JPM alijitenga na wakubwa zake kwa miaka zaidi ya ishirini?Katika utumishi, sio kitu cha ajabu kuwa na tofauti za kimtazamo juu ya jambo fulani. Hata hivyo, inapotokea kwamba VP au waziri anaamini tofauti za kimtazamo zilizopo kati yake na Rais, juu ya jambo hilo, ni kubwa sana na hazivumiliki endapo Rais atakataa ushauri wake, basi ni bora akajitenga na msimamo wa Rais kwa kujiuzulu.
Kwa miaka zaidi ya ishirini kwa nini Magufuli aliwatumikia hao anaodai walipindisha taifa hadi adai anainyosha?VP au waziri akishindwa kujitenga na kitu ambacho anaamini kinaumiza maslahi ya taifa, VP au waziri huyo anakuwa ameonesha udhaifu mkubwa sana wa kiuongozi. Kiongozi lazima awe na ujasiri wa kusimama upande wa haki hata kama kufanya hivyo maana yake ni kupoteza kazi. Vinginevyo, huyo hafai kabisa kushika dhamana kubwa kama hiyo.
Huyo jambazi na muuaji mkubwa kwa maiaka zaidi ya ishirini hakuwa mzigo?Needless to say, VP au waziri anayehubiri na kusimamia asichokiamini hawezi hata kuweka kiasi sahihi cha juhudi inayohitajika kufikia malengo yaliyotarajiwa. Kwa maneno mengine, yeye anageuka kuwa VP au waziri mzigo.
Ficha upumbavu wako wewe shetani mkubwa, bila shaka hivi sasa unaamini huyo muovu yuko mbinguni akitoa amri kwa malaika, thubutu!Mama Samia ameonesha udhaifu wa kiwango cha PhD na amekuwa mfano mbaya kabisa kwa mawaziri wake. Bila shaka, Rais anawaambia mawaziri na taifa zima kwamba unafiki katika Serikali unakubalika. Yumukini mfano wa unafiki aliouonesha ni silaha ambayo wateule wake hawatasita kuitumia dhidi yake. Inasikitisha, to say the least!
Acha uongo.Wanufaika wa Elimu Bure na Board ya Mikopo ya Elimu ya Juu sasa waanze kujiandaa kupambana na hali zao!
NakwambiaNi swala la muda tu. Hapa hatuna Rais
Wamekutana wote wazee wa MipashoAcha hallucinations..hoja hujibiwa kwa hoja si vioja na maneno ya saluni..
Hotuba za mama .simekaa kama tupo kwenye kikao cha sacos
Kweli kabisa namimi nimeliona Hilo hasa pale anaposema wataalam kakaeni mje na majibu badala ya kutuonyesha tunakotakiwa kupita Kama mtangulizi wake alivyokuwa anafanya uongozi nikuonyesha njiaNi swala la muda tu. Hapa hatuna Rais
Hahahaaa mpigaji naona mnahaha km nn maana tulivo kua tunawaambia hali mbaya mnasema sisi ni wapiga dili sasa kimegeuka kwenu hapa hakuna kuonea tutalipa kodi inayostahili sio kwa kuoneana ...na nyinyi zamu yenu tulieni dawa iwaingie ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu watu ni wajinga sana..hawajui wananchi wanahitaji nini na mama nae kafuata huo huo mkumbo..sio kwa zile hotuba zake yaan hata kuziskiliza ni kero..anataka turudi enzi za kina jk.kuchekeana chekeana.. hatutaki uswahili kwenye masuala ya kulipa kodi kwenye masuala ya rasilimali za nchi..
Time will tell..JPM will never be forgoten.
nakuunga mkono mkuuNi swala la muda tu. Hapa hatuna Rais
Mtateseka sana, nchi imechukuliwa na CDM kiulaini bila hata push up yani.
Nimeipenda hiiMkiendelea kumsumbua rais wetu tutawazingua